kwani hana ndugu na kwanini MNABEBA BEBA MIMBA HOVYO WAKATI HAMNA UCHUMI.Nikuulize swali rahisi tu, unajuaje kama yule mama baada ya kubeba ujauzito ule, mumewe alipata ajali na bodaboda akafa?? Sasa kiongozi unapotoa kai kama ile huyo mjane atajisikiaje?? Chungeni kauli zenu Mungu yupo na hadhihakiwi. Usijione mjanja kuwa nacho leo ukamdharau na kumdhihaki asiyenacho leo kwani hujui kesho yako.
ALIYEWADANGANYA KUZAA NI SIFA NI NANI???
UZAZI WA HIVYO HATA MAKUZI YA WATOTO NI TIAMAJITIAMAJI NA MWISHOWE MNASHALISHA PANYA ROAD!!!