Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ana hasira ile mbaya!Rauha ipo wapi mkuu wa kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hasira ile mbaya!Rauha ipo wapi mkuu wa kazi?
Bro nenda kanywe chai ya maziwa, unywe maji then ukae Kitako Kwa kutulia.shusha presha maana sindano imekuingia vizuri..Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
Hili litafika Kwenye Vikao Vya Chama hawezi kumdhalilisha mpiga kura aliyekupigia simu kuomba msaadaChangamoto katumia lugha ambayo haikueleweka kwa akina "dezodezo"!Utamuacha mgonjwa wako afe kwa sababu hospital haina dawa au vifaa?
Hajadhalilishwa.Matumizi ya maneno ilikuwa ni mgongano kifikra.Hili litafika Kwenye Vikao Vya Chama hawezi kumdhalilisha mpiga kura aliyekupigia simu kuomba msaada
Huu ni udhalilishaji uliopitiliza
Navalonge swela 🐼
Kiongozi kuongea lugha za kuudhi ahamie Chadema ndio ataenjoyHajadhalilishwa.Matumizi ya maneno ilikuwa ni mgongano kifikra.
📌📌NDO MFANYE KAZI HAMNA MBELEKO,UKIBEBA MIMBA UWE UMEJIPANGA KAMA HUWEZI KONDOM ZIPO SHILINGI BUKU TU UNAPATA KITU HAKICHANIKI😁😁😁Huyu kashiba ameanua kutapika.Kwa Mwananchi wa kawaida wilaya ya Temeke Shillingi elfu hamsini na milioni mbili ni pesa ndefu yeye wa Masaki anaona ni pesa ya bia.
JIFUNZENI KUSEMA UKWELI,HUWENDA MKASAIDIA WANANCHI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJITEGEMEA.Kiongozi kuongea lugha za kuudhi ahamie Chadema ndio ataenjoy
Hapa CCM tutamjadili tu 🐼
Sawa mkuu.📌📌NDO MFANYE KAZI HAMNA MBELEKO,UKIBEBA MIMBA UWE UMEJIPANGA KAMA HUWEZI KONDOM ZIPO SHILINGI BUKU TU UNAPATA KITU HAKICHANIKI😁😁😁
#NO FREE LUNCH,HAPA DUNIANI!!!
Kakosea Wapi??Duh
Nilitaka kumpigia Waziri mkuu Lakini ngoja nimpigie Mkuu wa nchi direct
Huyu aondolewe tu Hakunaga Cha Navalonge swela wala nini 🐼
Hiyo ni mada nyingine 🐼JIFUNZENI KUSEMA UKWELI,HUWENDA MKASAIDIA WANANCHI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJITEGEMEA.
📌📌📌MNAHUBIRI HUDUMA BURE ILA UKWELI HAMNA UWEZO WA KUTOA HUDUMA BURE!!!
Naomba Unitajie Makosa yako Binafsi naona Yuko Sahihi kabisa..Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
CHALAMILA AMEONA HAKUNA HAJA YA KUENDELEA KUDANGANYA RAIA.Hajadhalilishwa.Matumizi ya maneno ilikuwa ni mgongano kifikra.
VIONGIZI WAIGE MFANO WA CHALAMILA💪💪💪Bora leo mmewaambia ukweli wananchi sio mnavowaaambia vtu bure wanakuja wanahisi tunawapiga
Kiongozi unapopigiwa Simu na mpiga kura akakueleza tatizo Usimnyanyapae bali mchukulie Kwa UpendoKakosea Wapi??