RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Nadhan uliyeandika andiko hili nenda kajitafakari..tena
 
Changamoto katumia lugha ambayo haikueleweka kwa akina "dezodezo"!Utamuacha mgonjwa wako afe kwa sababu hospital haina dawa au vifaa?
Hili litafika Kwenye Vikao Vya Chama hawezi kumdhalilisha mpiga kura aliyekupigia simu kuomba msaada

Huu ni udhalilishaji uliopitiliza

Navalonge swela 🐼
 
KIUHALISIA CHALAMILA KAONGEA UKWELI MTUPU💪💪💪

ILA KWASABABU ZA KISIASA ATANYOLEWA😁😁😁

📌📌📌KAMA MATIBABU SIO BURE WANASIASA WAWAAMBIE UKWELI WAPIGA KURA WAO,MAMBO YA KUWADANGANYA WANANCHI NI KUTAKA KUWAGOMBANISHA NA WATENDAJI WA SERIKALI!!!
 
Huyu kashiba ameanua kutapika.Kwa Mwananchi wa kawaida wilaya ya Temeke Shillingi elfu hamsini na milioni mbili ni pesa ndefu yeye wa Masaki anaona ni pesa ya bia.
📌📌NDO MFANYE KAZI HAMNA MBELEKO,UKIBEBA MIMBA UWE UMEJIPANGA KAMA HUWEZI KONDOM ZIPO SHILINGI BUKU TU UNAPATA KITU HAKICHANIKI😁😁😁

#NO FREE LUNCH,HAPA DUNIANI!!!
 
Huyu mkuu wa mkoa lazima ana matatizo ya afya ya akili
 
  • Thanks
Reactions: KLU
Kiongozi kuongea lugha za kuudhi ahamie Chadema ndio ataenjoy

Hapa CCM tutamjadili tu 🐼
JIFUNZENI KUSEMA UKWELI,HUWENDA MKASAIDIA WANANCHI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJITEGEMEA.

📌📌📌MNAHUBIRI HUDUMA BURE ILA UKWELI HAMNA UWEZO WA KUTOA HUDUMA BURE!!!
 
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

View attachment 3214512
Naomba Unitajie Makosa yako Binafsi naona Yuko Sahihi kabisa..
Tusichanganye siasa na Proffesional..

Hospitali haiwezi kuwa Na Vifaa Vyote na Daw zote kila Muda
 
Hajadhalilishwa.Matumizi ya maneno ilikuwa ni mgongano kifikra.
CHALAMILA AMEONA HAKUNA HAJA YA KUENDELEA KUDANGANYA RAIA.

AMEAMUA ANYOOKE KAMA RULA😁😁😁UKIAMUA KUBEBEA MIMBA UWE UMEJIPANGA.MAMBO YA KUZAA ZAA HOVYO WAKATI HUWEZI KUITUNZA MIMBA WALA MTOTO NI UMASIKINI WA FIKRA NA AKILI.

NCHI TAYARI INA WATU MILLIONI 60 UNAKUTA MTU BADO ANAZAA HOVYO WAKATI YEYE MWENYEWE KUJIHUDUMIA HAJIWEZI.


📌📌TZ HATUNA UPUNGUFU WA WATU.WATU WAJIFUNZE KUZAA KWA MPANGO.
 
Back
Top Bottom