RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716


Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar.

Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku.

Amemalizia kwa kusema Mbeya ni jiji la wajanja hata yeye ukimzingua anapaki gari pembeni mnazichapa kavu kavu ukimdunda poa tu

Maendeleo hayana vyama
 
Kwanza kakorona ni kagonjwa kadogo tu. Hata malaria ni ugonjwa mkubwa Tanzania kuliko Corona. Sisi wanambea tunaendelea kula vitu toka day one kutangazwa ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom