RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

Nilikuwa Mbeya J3 kweli jamaa hawana habari na corona kabisa ni kula kitimoto na Bia.
Nami nimezunguka Tabora, Katavi, Rukwa, Mbeya na Songwe, huko watu hawana habari na corona. Wanashangaa yanayozungumzwa kwenye vyombo by ya habar juu ya Corona hasa taarifa za BBC na DW.
 
Tanzania mupya ,
The best lack all conviction, while the worst
Are full of passionate intensity.
 
Back
Top Bottom