johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa!Hata kucheka ni ongezeko la kinga mwilini.
Wewe ndo ulikejeli kipindi tunaomba MunguShukrani ya mungu ni kumkufuru sasa,Ngoja tuone muda utasema
Hao wa dizaini hio ndio nanhii anawapenda saaaaana.Daah wakuu wa mkoa wa awamu hii sijajua wanakwama wapi?
Ila wanakwama sana sana!!!
Daah wakuu wa mkoa wa awamu hii sijajua wanakwama wapi?
Ila wanakwama sana sana!!!