Kuna sehemu karibu na mataa ya mafiat wanauza kitimoto safi sana, nimepasahau jina lake, nilikuwa hapo 2 years ago....Nilikuwa Mbeya J3 kweli jamaa hawana habari na corona kabisa ni kula kitimoto na Bia.
Jamaa mtemi mtemi sana!Kwamba ukimzingua anapaki gari pembeni mzichape? Nimecheka sana. Sio kwamba atariamrisha jeshi ra porisi na arapisii kumchukuria hatua kari muhusika ikiwemo kumuweka ndani masaa ishirini na nne?
😀😆😀Corona haiamini inavyodharaulika Tz
Nchi ambayo kati ya waendesha pikipiki 10 ni mmoja tu anavaa helmet na hakuna kiongozi anayehangaika ndio itaogopa Korona.Corona haiamini inavyodharaulika Tz
Halafu kwa unene wake ule haingii round ya pili kwa KoronaJamaa mtemi mtemi sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kucheka ni ongezeko la kinga mwilini.
Toka Mzee Mangula anusurike na sumu ya panya BASHIRU ndo kaamua kupotea kabisaaa....hawa wakuu wa mikoa wa mbeya na dar es salaam si ndio Bashiru alisemaa anaanza nao warudi shule
Kwamba MAKONDA (RC Dar) ni mshamba ila yeye CHALAMILA (RC Mbeya) ni mjanja...
Hii inaweza kuwa kweli? Yaani bosi wa Ma-rc wote awe poyoyo !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna haja ya kuomba pambano la masumbwi na huyu Rc, ni mara ya pili sasa namsikia akitamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nimezunguka Tabora, Katavi, Rukwa, Mbeya na Songwe, huko watu hawana habari na corona. Wanashangaa yanayozungumzwa kwenye vyombo by ya habar juu ya Corona hasa taarifa za BBC na DW.Nilikuwa Mbeya J3 kweli jamaa hawana habari na corona kabisa ni kula kitimoto na Bia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nchi ina comedians kila kona