Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Pole mkuu ila kwa kawaida mbeya inakosa hadhi ya jiji ka kukosa mpangilio wa vitu kama hiviLeo tusio na usafiri chamoto tutakipata nauli za bukubuku hizi dah na nilishazoea 400 inanifikisha nyumbani.
Kikubwa wadau hamja helewaWatu mnashindwa kuelewa kwamba watu wanaomiliki dala dala ni wachache na wapo vizuri kiuchumi, wanaomiliki bajaji ni wengi pia ndio wanyonge wenyewe ukiwafukuza wasitumie bala bala unataka wakale wapi?
ukinunua bajaji mkuu naomba kaz ya kuendeshaDuh....
tunauza mabasi tununue Bajaj
Kwamba nao wanalipa TRA, LATRA na ushuru.Ila ni kweli maana dhumuni la vyombo vya usafiri ni kuwasafirisha abiria wafike wanapotaka kufika kwa wakati na bajaji pia ni chombo cha usafirishaji wa abiria.
Atakayokupa likiwa gege nitaomba waka(day worker) mkuuukinunua bajaji mkuu naomba kaz ya kuendesha
sawa mkuu ucjalAtakayokupa likiwa gege nitaomba waka(day worker) mkuu
Hamisha route mkuu peleka Inyala au TDMDuh....
tunauza mabasi tununue Bajaj
Maana vitepe kupata waka ni shughuli kwelikweli, nitakushukuru sana.sawa mkuu ucjal
Huyu anaafa Ukatibu Mkuu kwenye Chama. Japo sijajua Elimu yakeMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao...
UK mbali Lusaka au JobergBajaji ni magari ya walemavu.. nenda UK kama utaona bajaji.