Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndugu na makada wa CCM ndiyo huajiriwa kwenda kutajirika kwa njia za wizi wa mali za umma.Ndiyo maana mambo mengi ya serikali hayafanikiwi, kwasababu wengi ya waajiriwa hawajapata kwa uwezo bali connection
Kichwa cha habari ni Msaada wa Korea, lakini inaonekana ni mkopo, yaani mzigo WA kubomoa na kujenga nyingine ni wetu.RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
Wewe ni wa kupigiliwa misumali nyuma hadi ukufwe huna faida mama yako ana hasara kuzaa chawa kama weweZaidi ya asilimia 99.9 ya watanzani wanaona juhudi na mambo mazuri anayoyafanya Mh.SAmia Hassan,hakika mama anaupiga mwingi,tumpe tena ten years ili tanzania iwe kama Dubai
Kwanini hospital za wilaya zisipewe uwezo uliosawa na Muhimbili?Litafutwe eneo jingine ijengwe Hospitali mpya Muhimbili waiache iendelee kutoa huduma.
Tunahitaji Hospitali nyingi zinazotoa huduma sawa na muhimbili.Nenda leo pale kaone wagonjwa walivojazana !
Utadhani ni sokoni.Kumuona daktari tu kwa mfano MOI utafika saa 11 alfajir utaondoka saa kumina moja jioni !
Pia serikali iongeze madaktari hawatoshi !
Kichekesho cha mwaka. Yaani hospitali kama muhimbili ibomolewe ili kujengwa upya?RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
Wameshaanza kubomoa?RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
Kwani billions 600 hazipo hazina hadi tupewe mkopo?????RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
Swali fikirishi je sisi hatuna bilioni 560RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini