RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Kichwa cha habari ni Msaada wa Korea, lakini inaonekana ni mkopo, yaani mzigo WA kubomoa na kujenga nyingine ni wetu.
 
Sina shida kama Mardi, ujenzi na pesa yote itasimamiwa na wakorea wenyewe kama daraja la Tanzanite, mkimweka Mwigulu au mheshimiwa fake yeyote wa lile chama pendwa la waizi wa kura CCM Mardi utaishia njiani na nusu ya pesa wataishia kugawana
 
Huenda Chalamila amejichanganya Ila suala la ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili Prof. Janab alishawahi kulizungumzia ni mkopo kutoka benki moja hapa Tz. Pia ujenzi utahusisha wodi mpya za kisasa(kwa kubomoa wodi za Mwaisela, sewahaji na Kibasila) ila plan iliyokuwepo ni moja wapo ya wodi ibaki kwa ajili ya kumbukumbu. Maeneo mengine ni sehemu ya kliniki ya ngozi sasa hivi n.k
 
Zaidi ya asilimia 99.9 ya watanzani wanaona juhudi na mambo mazuri anayoyafanya Mh.SAmia Hassan,hakika mama anaupiga mwingi,tumpe tena ten years ili tanzania iwe kama Dubai
Wewe ni wa kupigiliwa misumali nyuma hadi ukufwe huna faida mama yako ana hasara kuzaa chawa kama wewe
 
Upuuzi mtupu. Kwa nini hamtafuti mahali pengine? Hiyo ifanyeni kituo cha walemavu, angalau mwoneshe huruma! Pambaffff nyie.
 
Litafutwe eneo jingine ijengwe Hospitali mpya Muhimbili waiache iendelee kutoa huduma.
Tunahitaji Hospitali nyingi zinazotoa huduma sawa na muhimbili.Nenda leo pale kaone wagonjwa walivojazana !
Utadhani ni sokoni.Kumuona daktari tu kwa mfano MOI utafika saa 11 alfajir utaondoka saa kumina moja jioni !
Pia serikali iongeze madaktari hawatoshi !
Kwanini hospital za wilaya zisipewe uwezo uliosawa na Muhimbili?
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Kichekesho cha mwaka. Yaani hospitali kama muhimbili ibomolewe ili kujengwa upya?
Ukisikia ule ujinga alituambia nyerere wa kutoa almasi kwa vipande vya chupa ndio huu sasa.😂🤣🤸😪
 
Itakuwa ni jambo jema likitelekezeka na kukamilika kwa wakati.
 
Si bora kujenga nyingine kama ilivyojengwa Mloganzira kuliko kubomoa iliyotayari kana kwamba hakuna ardhi ya kujenga nyingine?
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Wameshaanza kubomoa?
 
Waambieni hao wanaojiita viongozi hatuhitaji majengo mapya. Huo msaada waweke kwenye mifumo ya bima na wannchi wote wapate hudume bure. Na wanaoenda kufia India na S Afrika wafie hapa hapa
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Kwani billions 600 hazipo hazina hadi tupewe mkopo?????
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Swali fikirishi je sisi hatuna bilioni 560
 
Hakuna sababu ya kuyabomoa hayo majengo,panaweza pakatumika kwa kazi nyingine hata karakana ya jeshi
 
Back
Top Bottom