RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

Ili usolve tatizo si lazima ujue chanzo? Ndo kasema chanzo ni nn nasasa ameomba wakazi waache hayo mazoea
 
Achana na hao watu...wanachukia wahaya from nowhere..

Ndo shinda ya Tz watu wenye mafanikio na akili kubwa huchukiwa na jamii weak..mara wajuaji etc

Lakin ukifanya analysis hiz chuki zinaathiri nchi nzima kiuchumi ndo maana bado nchi yetu maskini hadi leo..
Imagine mipaka minne ya kagera ingetumiwa vzr tungekuwa wap kama nchi
 
Ili usolve tatizo si lazima ujue chanzo? Ndo kasema chanzo ni nn nasasa ameomba wakazi waache hayo mazoea
Kwa hiyo kujua kingereza kunazui Bukoba kujengwa stendi ya kisasa...

Stendi za dom, dar, nk zimejengwa kwa sababu watu wake hawajui kingereza...


CCM haipendi wasomi na watu wa kureason Ndo maana inapata shida sana kagera
 
Hivi nyinyi mnamafanikio gani? Kwanza mshukuru wamisionari maana mngekuwa kama makondoo! Kelele sana lakini matokeo zero!
 
Wahaya ni shidaaaaaaaaaaaaaaaa
Kule mkiwa na mashamba jirani
Ukachoma Magugu shambani kwako upepo ukatokea ukapeperusha majivu kidogo yakaenda kutua kwenye matawi ya migomba ya shamba la jirani yako hiyo kesi ujiandae utapelekwa hadi mahakama kuu majivu yako ya me trespass kutoka shambani kwako kwenda shamba lake.Mtanuniana na mwaweza musiongee kama majirani tena milele.Kisa majivu
 
Huku ni shidaa, Baraza la madiwani halifikii muafaka kwenye miradi ya maendeleo, kila kukicha ni mapingamizi mahakamani, so sad
 
Hivi nyinyi mnamafanikio gani? Kwanza mshukuru wamisionari maana mngekuwa kama makondoo! Kelele sana lakini matokeo zero!
Unataka kujua mafanikio ya wanaume? Unataka kuolewa sio...

Anyway sipendi kutukana watu but unauliza maswali ya kijinga...nenda Huko vijijini kwao..
 
Huku ni shidaa, Baraza la madiwani halifikii muafaka kwenye miradi ya maendeleo, kila kukicha ni mapingamizi mahakamani, so sad
Sasa huyo chalamila atumie ukuu wake hapo asolve...

Akishindwa nitamuona weak..anayejificha kwenye maneno na kuogopa wahaya
 
Huyu ni mwe
Huyu ni. Mwehu,Wachaga ni watata pia,mbona kwao kumeendelea,
Kizungu na haiba ya watu inazuia vipi maendeleo ya mkoa?waziri wa tamisemi sio muhaya,katibu sio muhaya,wakuu wa mikoa waliopita sio wahaya,sheria zipo,kwanini hazifuatwi,katika kujenga stend,watu wa ccm walipinga kwa vile halmashauri ilikuwa chini ya upinzani,wakaweka figisu kibao!hapo kinacho kwamisha ni Siasa kuingilia maendeleo,ccm imefanya watu wawe kama mazombi,wapo tayari waishi kwenye shida mradi usijengwe kwa vile tu sifa zitaenda kwa watu wasio wa ccm!Siasa chafu za ccm ndio chanzo,meya anapanga miradi,inafanyiwa figisu na mkuu wa wilaya mkoa,kwa maagizo kutoka juu,
 
Yuko sahihi kabisa, yaani kwa mfano Bukoba Kuna baadhi ya huduma kuzipata kwa asubuhi ni kuanzia saa nne. Yaani mtu anafungua duka saa nne asubuhi
 
Unategemea idiot na mlevi kama yule alete maendeleo? He has been dumped there to frustrate wanaKagera. Samia hebu ondoa hilo takataka lako
Akimwondoa lazma tuandamane, huyu RC yuko poa kiuongozi, hataki konakona na sheria za ajabu, nani kama Chalamila, anastahili kuwa waziri mkuu kama sio Rais, sijaona mkuu wa mkoa bora kwa sasa kama Chalamila.
 
Hivi ukijengwa stand ndio maedeleo tayari??, ungezungumzia viwanda, vyuo vikuu hapo ningekuelewa.
 
Kwani ukiongea kingereza kinafifisha maendeleo yako?
Kuongea Kingereza Siyo Shida Tatizo ni kuongea ongea Viingereza Mbele ya Mtanzania Mwenzako Ili Uonekane Umesoma Au Unajua Kiingereza. (Sifa za Wahaya). Wakati Huyo Msomi Hata Upembuzi yakinifu wa Kupata Stendi Nzuri ya Mabasi Hapo Bukoba Hajawahi Kufanya
 
Wajomba ZANGU hao!!

Full ubinafsi na kujidai kielimu eti nshomile!!

"Mzee warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa Katiba mpya ukamilike"!
 
Hivi ukijengwa stand ndio maedeleo tayari??, ungezungumzia viwanda, vyuo vikuu hapo ningekuelewa.
Wewe Ndio Huelewei maana Ya Maendeleo. Tuambie Mkoa Wa Dar Es Salaam una Stand kama Ya Bukoba ? Kama Haipo Basi Ujue Stendi Ni sehemu ya Watu kufikia Ili Kuleta Maendeleo sehemu Husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…