RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

Kagera iko mpakani mwa Uganda, Rwanda, Burundi lakini watu wa kagera kwaufupi wamelala sana wavivu
Na unaweza kushangaa mwanakagera hajui majirani zake hao wanazalisha nini/wanapungukiwa nini ili awapelekee!
 
Na unaweza kushangaa mwanakagera hajui majirani zake hao wanazalisha nini/wanapungukiwa nini ili awapelekee!
Acha kuongea kama choko , kilimo cha kahawa na ndizi kimekuwa backbone ya huo mkoa tangu enzi za mkoloni CCM na ufala wao WA vyama vya ushirika wakaua biashara ya Kahawa , watu wanalima maelfu ya hekari ya Kahawa Kwa wingi bukoba vijijini kuvukisha hapo Tu Uganda ambapo BEI ni 2× / sometimes even 3× ya Tz unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi ,kufungwa na kufilisiwa mali zako ,BEI za vyama vya ushirika ni za kiseng£ kila mtu anajua na ni za kukopwa , malipo si Kwa wakati .
 
Acheni utani bukoba ni sehemu ngumu sana kufanya kazi! Wahaya wanaujuaji usio kuwa na maana ndo maana hata maendeleo yanaenda pole pole sana!
Kuna jamaa nae alikuwa anafanya kazi huko,aisee anakwambia alipopata uhamisho kuhamia Geita alifanya sherehe, anasema hawafai hata kidogo hao watu wana umimi mwingi + ujuaji na kukwamisha juhudi za wengine ni kawaida sana
 
Sio kejeli ni ukweli mtupu, watu kazi kupenda sifa tu wasizostahili ,kujifanya wasomi sana wakati maendeleo hakuna
Nyie kama mwenyekiti wenu hapendi sifa mbona kila mkisimama mnasifia mpaka kero, Kama hapendi mbona hawakatazi, binadam ameumbwa penda sifa ndo maana Kuna machawa,

Kwamba tz ni mkoa wa Ndugu zetu hu maskini tu, miaka mingapi ilipita mmepiga kuuza kahawa ,ambalo ni zao lao kuu la biashara ikiwemo Kilimanjaro, Songea, n.k kuweka vizingiti kibao kwenye zao hili, mnakataza mkulima uza Uganda mnalazimisha uza kwenye ushirika kwa bei che

Kagera ni moja ya Mikoa inapata mvua Mara mbili KWA mwaka lin selikali imewahi nenda na mpango mkakati wa kuwezesha wananchi anzisha mazao mengine ya biashara Kama ufuta, hata Alizeti, Ili kuwezesha watu wa huko jiongezea kipato

Huu ni mkoa umekua ikipata majanga mbalimbali , mfano matetemeko , lini serikali imekua ikiwasaidia tofauti na kutoa vijembe, au unaongea kisa unafulsa, penye haki Ongea ukweli bila kujali nani unamwongelea,

Kwa jinsi msemavyo kwa Hawa jamaa sivyo walivyo japo wapo Kama ambavyo kwenye makabila yetu wapo, Sasa ukisema Hawa Ndugu ni wavivu vipi, Wabondei, Wazigua, wanyamwezi, wangoni, lakini hata kwenye kabila lako watu wa hovyo wapo,

Nafikili Hawa jamaa wanaweza wakati mwingine wanatamani wangekua KWA MSEVEN ,maana vita yenyewe iliwaumiza Sana, na bado kila wakati kuwatukana, ila ikifika mda, kura zao mwazitaka,

Hamtaki wawekea mazingira mazuri waacheni wawe Uganda .
 
Kingereza kinazuiaje maendeleo?

Yeye ni mkuu wa mkoa...Stendi ya Bukoba ni majanga..ashawahi itembelea akaona matatizo yake..

Yaan mtu unaletwa uongoze mkoa unaanza maneno na kejeli...solve matatizo ya mkoa hasa hapo Bukoba...mji barabara zake mbovu, stendi ni ya matope na kero nyingine kibaoo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu wa mkoa hakupepesa macho kabisa na amewapa za usoni wahaya kama inavyotakiwa. Kwa kifupi shida ya wahaya ni:
Uvivu
Ujuaji
Ubishi
Ubaguzi
Ubinafsi
Napendekeza watu wa Kagera wakapate semina za kuamka mapema asubuhi kutoka Moshi na kwingineko. Itawasaidia. luambo makiadi
 
Kwanini unataka watu waamke mapema? Unakwenda kumuhudumia nani? Kila mtu ana schedele ya shghuli zake, huyu RC ni wa ajabu sana. Anaropoka tu bila analysis. Kwa data ipi ambayp ameichapisha na kutoa conclusion hiyo! Unafungua duka kama kuna wateja wa mapema. kama watu hawaji barabarani mapema unafungua ili iweje?
Ukiwazoesha kufungua mapema watakuja mapema
 
Muda unaenda hata mikoa ambayo mzungu hakujenga shule itakuwa na maendeleo kuliko hii mikoa yenye historia ya shule za kikoloni.
 
Nenda kariakoo saa mbili utafute simu uone kama utakuta duka liko wazi...

Uvivu ni tatizo la tz nzima

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wahaya na wapemba wanafanya ujuaji
Hata kutungua maduka hujaelewa

Pamba na Bukoba kunafanana kuko nyuma sana

Mikoa iliyojaa wajuaje na isiyo na maendeleo kwao ni Pemba na Kagera

Kagera hujifanya wauaji wa sheria na kingereza wapemba hujifanya wajuaji wa dini za siasa kali na siasa za kupinga kila kitu

Wakifuatiwa na wa mkoa wa kigoma wabishi hao na mkoa uko nyuma kimaendeleo
 
Muda unaenda hata mikoa ambayo mzungu hakujenga shule itakuwa na maendeleo kuliko hii mikoa yenye historia ya shule za kikoloni.
Mkoloni aliwasaidia kuweka hizo shule sababu alitumia mabavu kuziweka lakini ingekuwa ni hiari wangepinga na wangekuwa nyuma kielimu kuliko mikoa yote Tanzania wajuaji mno hadi wanakera

Kuweka kamradi kadogo tu ka maendeleo lazima mkeshe kukubiliana na kuachana kwa kukubaliana kutokubaliana!!

Uweke viongozi wa kabila yao shida uwapelekee viongozi wageni shida
 
Mkuu wa mkoa hakupepesa macho kabisa na amewapa za usoni wahaya kama inavyotakiwa. Kwa kifupi shida ya wahaya ni:
Uvivu
Ujuaji
Ubishi
Ubaguzi
Ubinafsi
Napendekeza watu wa Kagera wakapate semina za kuamka mapema asubuhi kutoka Moshi na kwingineko. Itawasaidia. luambo makiadi
Huko moshi mnapolewa siku nzima na kuua wazazi na waume zenu...

Bado hamjagombania mali...

Hizo sifa ulizozitaja kila mtu anazo..hata wew unazo
 
Kingereza kinazuiaje maendeleo?

Yeye ni mkuu wa mkoa...Stendi ya Bukoba ni majanga..ashawahi itembelea akaona matatizo yake..

Yaan mtu unaletwa uongoze mkoa unaanza maneno na kejeli...solve matatizo ya mkoa hasa hapo Bukoba...mji barabara zake mbovu, stendi ni ya matope na kero nyingine kibaoo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine ukitafakari unaona cheo cha Mkuu wa mkoa ni wastage of resources tupu
 
Alianza Nyerere kupeleka washenzi mkoa wa Kagera ili kukwamisha maendeleo ya mkoa, hiyo tabia haijawahi kuisha leo tunatafuta mchawi kwa maneno ya shombo.

Eti mara hii Wahaya leo wamekuwa laughing stock ya nchi!!
Kagera tunazalisha sukari wananchi wanauziwa kwa shs 3000 kwa kilo sawa na wananchi wa Dareslaam.
Saruji inayozalishwa Dareslaam wana Dar wanauziwa kwa shs 14000 kwa mfuko wa kilo 50 huku wananchi Kagera wakiuziwa kwa shs 23000/kwa mfuko wa kilo 50.Hapo wachumi tudadavulie economic rationale.

Wakati mwananchi wa Kagera akipambana kumalizia nyumba moja, mkazi wa Daresalaam kisha jenga mbili kwa ghalama ili ile.
Is there any fairness principle really?

Wakati mikoa ilioko pembezoni na mipakani inatakiwa kufaidika kwa kupata fursa ya kununua bidhaa kutoka nchi jirani kwa mujibu wa sera ya biashara ya Afrika mashariki, huku Kagera ni kinyune kutoka Bukoba mjini kwenda mpakani mwa Uganda kuna vizuizi zaidi ya vitano ambavyo ni kikwazo kwa ustawi wa mazingira ya biashara mkoani Kagera.
Mwananchi ananyanganywa kilo 2 za sukari kwenye kizuizi kwa kisingizio ha kulinda viwanda vya ndani?
Tujiulize kwa nini kwa jirani sukari ni bei nafuu na kwetu ni bei juu?
Wachumi wetu tusaidieni tuelewe tuna kwama wapi?

Tunapowanyooshea vidole wananchi wa Kagera tuangalie upande mwingine wa shillingi na hasa kuhusu sera na dhana nzina ya utawala bora.
 
Mkoloni aliwasaidia kuweka hizo shule sababu alitumia mabavu kuziweka lakini ingekuwa ni hiari wangepinga na wangekuwa nyuma kielimu kuliko mikoa yote Tanzania wajuaji mno hadi wanakera

Kuweka kamradi kadogo tu ka maendeleo lazima mkeshe kukubiliana na kuachana kwa kukubaliana kutokubaliana!!

Uweke viongozi wa kabila yao shida uwapelekee viongozi wageni shida
Hao jamaa ninao wengi na sijawahi ona au kuamini kwamba kichwani zipo nyingiii sana.

Wengi wao ni unafiki tu kwa kwenda mbele
 
Kawaeleza ukweli haiwezekani biashara mnafungua saa nne ni uzembe uliopitiliza na kujifanya mnajua kumbe hamna kitu
Yeye ahakikishe ofisi za serikali kagera sio tu wanafungua saa 1 na nusu bali huduma zianze muda stahiki bila kuchelewa. Maduka yetu atuachie sisi, hakuna sheria inayotubana. Wengine mamwinyi sie
 
Back
Top Bottom