Hiyo mipaka Haina manufa yoyote. Zamani watu walienda Kenya wakipereka Kawa na kurudi na mafuta ya taa.Kagera iko mpakani mwa Uganda, Rwanda, Burundi lakini watu wa kagera kwaufupi wamelala sana wavivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mipaka Haina manufa yoyote. Zamani watu walienda Kenya wakipereka Kawa na kurudi na mafuta ya taa.Kagera iko mpakani mwa Uganda, Rwanda, Burundi lakini watu wa kagera kwaufupi wamelala sana wavivu
kwani wewe kabila lako nyote mna hela?Sawa mmeshazipita kwa maneno matupu! Mtaendelea kuwa maskini maana wahaya hawa hawa tupo nao huku mtaani wameshapita hiyo level kivipi? Wanajigamba huku hawana lolote mfukoni!
Si ajabu wewe wa kule Pwanio pwani kwenye kabila ambao wanakula mara moja 24 hrs, mboga kuu ni Uono! halafu uko hapa unakunya uharoWahaya wasituletee ujinga wao RC kawaeleza ukweli wabadilike wafanye biashara kiushindani sio kupoa poa kama viazi vilivyolala,
Aridhi !!!, Kwa hiyo mabaraza ya aridhi Yako Bukoba TU? Bas nenda Ngara ,Muleba, Biharamlo , na Misenyi, hata karagwe ,huko hutopata kesi.Yaani nakwambia kafanye kazi yuko ndo utawajua! Wajuaji wasiokuwa na maana! Akitokea mgeni anamaendeleo wanamfatilia mfano ukinunua archi bukoba utapata kesi zisizo na tija hutaamini!
Hakuna haja ya kumsusia.Wana Kagera msusieni huyo mnyamahanga
takataka kama hizo usizijibu, do not waste your time with lumpen proletariats. Tanga baraza la ardhi limeelemelwa na kesi mpaka wanakuja wenyeviti toka kwingine kuja kusaidia backlogAridhi !!!, Kwa hiyo mabaraza ya aridhi Yako Bukoba TU? Bas nenda Ngara ,Muleba, Biharamlo , na Misenyi, hata karagwe ,huko hutopata kesi.
ametoa kauli mbaya. Wahaya hawajengi mijini, (labda Dar) nenda vijijini utaona maajabu. Nimetembea Tanzania nzoma, hakuna maendeleo vijijini kama Uhayani ukiacha uchagani.Hakuna haja ya kumsusia.
Kwa kujibu Wa Chalamila barabara za Bukoka mjini zimeharibika kwa sababu ya Kiingereza. Watu wa namna hii wanapataje hizo posts?Kingereza kinazuiaje maendeleo?
Yeye ni mkuu wa mkoa...Stendi ya Bukoba ni majanga..ashawahi itembelea akaona matatizo yake..
Yaan mtu unaletwa uongoze mkoa unaanza maneno na kejeli...solve matatizo ya mkoa hasa hapo Bukoba...mji barabara zake mbovu, stendi ni ya matope na kero nyingine kibaoo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sasa Yeye si ni Kiongozi wa mkoa?...Hiyo stendi, imehamishiwa pale Leo?
Wake zenu wenyewe cha wote! Hivi kuna demu mwepesi kumgonga kama mhaya? Hahaha eti mke wangu mhaya umeolea mtaa tu! Vumilia!Na pesa ya maafa yaliyotokana na tetemeko mlizipiga tukakaa kimya;
Na tukipeleka kahawa Uganda ili kupata bei nzuri mnabatiza zao letu magendo, tuko kimya;
Tukilala na wake zetu wazuri tunashikashika miguu mizuri mnaona wivu.
Huyo muongo...Bukoba ardhi unapata vzr tu aache kuongopa...sidhani kama hata Bukoba kama alishawahi kufika huyo...Aridhi !!!, Kwa hiyo mabaraza ya aridhi Yako Bukoba TU? Bas nenda Ngara ,Muleba, Biharamlo , na Misenyi, hata karagwe ,huko hutopata kesi.
Kariakoo ukienda saa tatu maduka yamefungwa mengi...tena jpili ndo mengine hayafunguliwi kabisa....mbona hapa dar maduka ya wapemba yanafunguliwa saa nne na hamsemi?
Sasa Yeye si ni Kiongozi wa mkoa?...
Kama anataka kuisaidia kagera...Afanya maamuzi yaliyowashinda wengi sio kuanza kukejeli wenyeji wa mkoa na tamaduni zao
Mimi Chalamila nitamuona mtu pale atakaposolve tatizo la muda mrefu la kuhamisha stendi kutoka pale ilipo na kujenga mpya kule kyakairabwa ilioishia mitini...
Sio maneno tu vila vitendo..akianza kuleta maneno mengi WAHAYA watamuadhibu vibaya sana....wale watu sio watu wa kuchokoza personality zao..tuulize sisi tuliokaa huko..
Ila Bukoba...
Wakichagua upinzani wanaambiwa wanawechelewesha...wakichagua CCM wanaishia kuambiwa wavivu...imagine stendi ya mkoa imesimamishwa toka 2020 walipoingia CCM bora hata wale chadema walionesha matumaini na kuanza ujenzi kwa kujibanabana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile ap
Mimi mwenyew simuelewi...Kwa kujibu Wa Chalamila barabara za Bukoka mjini zimeharibika kwa sababu ya Kiingereza. Watu wa namna hii wanapataje hizo posts?
Mengine wanaamua kuzusha , labuda alinunua ekibanja cya watu.Binafsi naona mji wa Bukoba unapanuka tu..sema pale mjini kati karibu na stendi ndo pabovu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app