instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Nakumbuka yule mkuu wa wilaya somebody kinawiro yule aliyetoka.alizuia kabisa manispaa ya bukoba isihamishe stendi pale ilipo ( yaan iendelee ile ya matope) kupeleka kule kyakairabwa ambako walishaanza hata kujikusanya kuweka tiles..Huyu ni mwe
Huyu ni. Mwehu,Wachaga ni watata pia,mbona kwao kumeendelea,
Kizungu na haiba ya watu inazuia vipi maendeleo ya mkoa?waziri wa tamisemi sio muhaya,katibu sio muhaya,wakuu wa mikoa waliopita sio wahaya,sheria zipo,kwanini hazifuatwi,katika kujenga stend,watu wa ccm walipinga kwa vile halmashauri ilikuwa chini ya upinzani,wakaweka figisu kibao!hapo kinacho kwamisha ni Siasa kuingilia maendeleo,ccm imefanya watu wawe kama mazombi,wapo tayari waishi kwenye shida mradi usijengwe kwa vile tu sifa zitaenda kwa watu wasio wa ccm!Siasa chafu za ccm ndio chanzo,meya anapanga miradi,inafanyiwa figisu na mkuu wa wilaya mkoa,kwa maagizo kutoka juu,
Kisa ikiamishiwa kyakairabwa chadema watapata credit ya kuchaguliwa tena 2020...
Sasa 2020 ccm walishinda kwa nguvu lakin hadi leo 2022 hakuna ujenzi wowote...
It seems ccm wanapenda watu wa kagera wasipate maendeleo..