Amenikumbusha enzi za bashite!
MaRC wa Dar sijui huwa wanalewa nini?π
Toka hadharani ukaongee hayo ule kibano na siyo kujificha huku kwa feki ID .Yoo shutup man, hujui hata role ya kiongozi
Kiongozi gani anaropoka trash? Eti public figure?
Urudi shule ww na huyo jamaa ako empty heads
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Mimi nasema wote wakuleta vurugu jijini wachapwe tu ngumiKuna nyakati, nadhani, Mzizima huhitaji viongozi 'wangu wangu' kama hivyo... yaani mtu wa dakika mbili mbele.
Anakwambia akichukiaga anamwaga ngumi kweli kweli, na hujakaa sawa keshakuchomolea 'mkwaju' . π
-Kaveli-
Anafaa sana ndio maana jiji limetulia vizuri sana .wahuni wote lazima wafundishwe na kushika adabu .Chalamila hafai hata kua kiongozi
Sasa watu aina yako kwanini msitandikwe ngumi? Ni kuchapa tu mpaka mibangi iwatoke kichwani na kuwa na adabu .Wewe inafamika umeathirika na kuingiliwa kinyume na maumbile tangu utotoni
Chalamila anakupasua wewe, akikudaba anakutandika knock out kama mandonga.Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.
Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi hawazi akapigana hata na konda wa daladala. Atqpigwa kwamq mwanamke
Chembe za moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kwamba wanaMzizima wachezee za chembe tu wakizingua... [emoji1][emoji1][emoji1]
-Kaveli-
Maneno aliyoongea yanweza kuongewa na mtu mwenye akili tumamu katika meza na nafasi ya uongozi?Tena ilifaa mh Chalamila aanze na wewe akutwange hilo limdomo lako unalotukaniaga mimatusi yako kama kichaa.
Dah!.... viongozi hao...Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
kwa hiyo hata rais hawezi kumfanya kitu au anamaanisha nini?Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.