Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Madaraka ya kulevyaMh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Aaaaah huyu leo saa nane usiku pdf linamhusuMh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Dah kaveli hadi nahisi wewe ni chalamila mwenyewe 🤣🤣Pengine labda mazingira aliyokuwepo yalimfanya aongee hivyo mkuu.
-Kaveli-
Mama hana noma nae huyu hata akimtengua leo kesho atamteua tena.... Kubwa atakalomfanyia ni kuhamisha mkoa tuAaaaah huyu leo saa nane usiku pdf linamhusu
Ndugu zangu Watanzania.Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Mtu anatishia watu silaha na Polisi wanamchikilia kama Mlevi? Polisi ndo wanotoa kibali cha kumiliki silaha kupitia Kamati za ulinzi na usalama wilaya, mkoa Hadi Kwa Mkurugenzi wa Upelelezi ambaye ni Polisi. Sasa huyu Mleviugali anaposema yeye huwa anatoa silaha popote na Hakuna cha kumfanya amebakiza sifa gani ya kumiliki silaha(Pistol) aliyonayo?Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Hekima inatakiwa hapo ndio maana kuna sheria na sio nguvu huu ni udhaifu wa madaraka yakeMkuu, nini maoni yako endapo Mh RC kuna watu wanamzingua?
-Kaveli-
Lini umeona iko serio? Kuanzia Rais Hadi Mwenyekiti wa kitongoji Hakuna aliye serious, ni mizaha tu. Ili Rais awe serious mpaka mteuliwa atoe kauli inayomkosoa yeye, hizi nyingine zinazotishia raia wa kawaida Rais anaona Sawa tu.Mkuu, unamaanisha Tanzania haiko serious?
-Kaveli-
Apige risasi wote.Mkuu, nini maoni yako endapo Mh RC kuna watu wanamzingua?
-Kaveli-
Gongo + misosi duniKwàni jamaa ana mishavue?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.
Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Uko sawa mkuu.Mtu anatishia watu silaha na Polisi wanamchikilia kama Mlevi? Polisi ndo wanotoa kibali cha kumiliki silaha kupitia Kamati za ulinzi na usalama wilaya, mkoa Hadi Kwa Mkurugenzi wa Upelelezi ambaye ni Polisi. Sasa huyu Mleviugali anaposema yeye huwa anatoa silaha popote na Hakuna cha kumfanya amebakiza sifa gani ya kumiliki silaha(Pistol) aliyonayo?