Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
Kashkaji haka ni kapumbavu sana. Kwani kenyewe ni kasemaji ka serikali?
 
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!

Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.
 
Ngoja tweeter ,facebook,watsp nk. wamshtaki kwa kuwapotezea wateja kwa kutangazia umma kwamba mitandao yao inasumbua , hajajiuliza kwanini wenzie wakubwa zake wamekaa kimya pamoja na kwamba wanalijua hilo.
 
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
Lazima mtaita maji mmaaaa mwaka huu. Nimetoka kupiga kura nimekutana na jamaa ananiambia maisha magumu sana na mitandao wanazima lazima nikapige kura.
Nikasema Aisee watu kweli wameamua leo. Mwambie Magufuli wako afungashe kabisa. Watu wana hasira nae vibaya
 
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
Injinia Kilaba wa TCRA apewe sifa kwa kutowahabarisha Watanzania.
Kutoelewa kutokana na kutohabarishwa ni kudumisha UJINGA.
UJINGA nayo ni sifa inayodumishwa na TCRA.
 
Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.

Wauaji mnajulikana ,kama Hoja ni kutoa Taarifa ambazo sio sahihi bado zitatolewa sababu zime/zina hifadhiwa kwenye vifaa husikaa.

Vibaraka wamejaa mpaka Ikulu ,Mikataba mibovu na isiyo na tija.Mkuu wa Nchi aliwahi kulalamikia juu ya Mkataba mbovu wa Gesi yetu huku akijua CCM ndio imekuwepo Madarakani wakati wote Nchi hii.

Tafuta sababu nyingine lakini hii yako haikai sawa na unacho kinasibisha.
 
Back
Top Bottom