Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu msemaji wa serikali?Serikali ni nani?
Mkuu wa mkoa ndio serikali bwashee!Bwashee kubali tu kwamba umetokota na mkuu wako wa mkoa. Hiyo taarifa wangetoa TCRA ungeeleweka, lakini mkuu wa mkoa?
Acha umbwiga bwashee!!
Duuuh!Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.
Msemaji wa serikali ni taasisi na boss wa hiyo taasisi ni Dr Abbas!Unamfahamu msemaji wa serikali?
Mkuu wa mkoa ndio serikali bwashee!
Right. Sasa inakuwaje Chalamila anatoa maelezo ambayo kimsingi yeye sio mwenye mamlaka ya usemaji?Msemaji wa serikali ni taasisi na boss wa hiyo taasisi ni Dr Abbas!
Wauaji mnajulikana ,kama Hoja ni kutoa Taarifa ambazo sio sahihi bado zitatolewa sababu zime/zina hifadhiwa kwenye vifaa husikaa.
Vibaraka wamejaa mpaka Ikulu ,Mikataba mibovu na isiyo na tija.Mkuu wa Nchi aliwahi kulalamikia juu ya Mkataba mbovu wa Gesi yetu huku akijua CCM ndio imekuwepo Madarakani wakati wote Nchi hii.
Tafuta sababu nyingine lakini hii yako haikai sawa na unacho kinasibisha.
Hawa wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao tuMpumbavu huyu chalamila. Achutumae aviche uchi wake mchafu. Hata barua ya TCRA kuhusu amri ya kufunga mitandao hii hakuisoma? Hii takataka imeokotwa wapi?
Ndo muendelezo ule ule wa majibu ya kipumbavu na kiherehere kujibu kijinga badala kuacha wenye akili waje na majibu yanayorithisha.Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu,hivi kura si hua ni siri ya anayepiga? au wakishapiga kura hua wanakuja kuripoti kwako? Hahahaaaaa!
Just kidding.
Magufuli hatishiki sio kama mzee wa msoga. Haya kazima sasa tuone mtamfanya nn [emoji13][emoji13][emoji13]
Sasa Tundu Lissu hapigi Kura Hii maana yake hatalinda kura na hiii maaanaa ake hatakuwepo kwenye kituo chochote hiiii maana ake Vichapo Vikianzaaa hatakuwepoo mtachapikaaa Vizuriii sana sasa Akili kichwani kwenSerikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo mtu hajawahi kuongea kitu cha maana tangu nimfahamuSerikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi mnadhani watu ni wajinga. You can monitor those nonsenses from New York and see what is happening in TanzaniaSerikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!