Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.

Ni mambwiga tu kama wewe ndo mnalialia kufungiwa, wajanja tunateleza tu tena hakuna jam kabisa... tumebaki wachache tunagusa tu.
 
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.




Maendeleo hayana vyama!
Empty up stairs, -ve argumentation,
She no nothing, anazidi kumfehehesha mteuzi wake.
 
Back
Top Bottom