johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
....wakati wowote hasa wakati wa uchaguzi.Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Kashkaji haka ni kapumbavu sana. Kwani kenyewe ni kasemaji ka serikali?Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Lazima mtaita maji mmaaaa mwaka huu. Nimetoka kupiga kura nimekutana na jamaa ananiambia maisha magumu sana na mitandao wanazima lazima nikapige kura.Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Injinia Kilaba wa TCRA apewe sifa kwa kutowahabarisha Watanzania.Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.
Maendeleo hayana vyama!
Daktari wa awamu ya 5.Hivi huyu jamaa ni daktari wa nn?
Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.
Mkuu,hivi kura si hua ni siri ya anayepiga? au wakishapiga kura hua wanakuja kuripoti kwako? Hahahaaaaa!Arusha Kura za gharika kwa LEMA na LISSU zinamiminika kama mvua ya NUHU aisseeeeh watu WAMEDHAMIRIA !!!!
Serikali ni nani?Kashkaji haka ni kapumbavu sana. Kwani kenyewe ni kasemaji ka serikali?