RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

AFUTE KWANZA MISIKITI YAKE.


HEBU AJARIBU KUFUTA MAKANISA TUONE.

NAONA AMANI.
 
Kwa akili gani alizonazo mpaka atoe hoja ya maana. Lakini ameogopa kuusema msikiti kwa sababu ni dini ya anayempeleka chooni
Sasa Ndani ya Kanisa angeusamaje Msikiti?

Protocol ya Kijamii haziruhusu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Kabla hajafunga makanisa, yeye na CCM yake watakuwa wameshafungwa saa nyingi. Chalamila ana mdomo mrefu utadhani hondo-hondo?! We mtu mzima, jaribu kuomba hekima kabla ya kuongea. Kiongozi unapoongea kwa kubwabwaja hivyo unadhalilisha mamlaka ya uteuzi ujue!
 
Yatafungwa yote ila sio la ROMAN CATHOLIC kauli moja tu kutoka vatican nchi huanguka wafalme husujudu
Ona sasa akili zenu zilivyo finyu. Kwahiyo mnategemea wazungu ndio wawafikishe mbiguni? Au ile dhana ya kusema mnaabudu freemason ina ukweli ndani yake?
 
Huyu mjinga anadhani watu wanaogopa? kwa technolojia ya leo watu wanaweza kusali kwa you tube. Pumbavu kweli
 
Kufungia taasisi za kidini ni kuamsha vita isiyo na kikomo.
 
Haka KABULSHUTI kama mimi kana bore sasa. Sijuwi Ukuu wa Mkoa wa Dar huwa unawadatisha watu?!
Sisi wana Dar twataka awatafutie USAFIRI WA KUDUMU watoto wa shule za msingi na sekondari za kata..
USAFI wa Jiji uimarishwe..
Mitaro na barabara zihudumiwe..
Usalama wa raia..
Afanye HAYO na siyo kutupotezea muda kuongea mambo yaliyomzidi akili na KIMO!
 
Alivyotumbuliwa alikuwa anaenda kulia pale kanisani Kwa Mwamposa machozi,Leo keshasahau eti atakuja mtawala ataefunga makanisa,hata akifunga majenga Mioyo yetu ni makanisa imara....njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ