Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
AFUTE KWANZA MISIKITI YAKE.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
HEBU AJARIBU KUFUTA MAKANISA TUONE.
NAONA AMANI.