Sahihi kabisa, unafiki umewazidi yaani mtu ana apa Kwa Biblia au Quran, akimaanisha ni mfuasi wa dhehebu Fulani. Baada ya hapo kiongozi wa Dino akimkosoa kuwa anakwenda tofauti na vitabu hivyo anakuja juu. Watuachie Biblia na Quran zetu.Ifike wakati wanasiasa waache kuapa huku wakiwa wameshirikira vitabu ya dini,ashikirie katiba ya nchi na ilani ya vyama vyao.