RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

Huyo kichwa chake tu kinaeleza yeye ni mtu wa aina gani.
Asitupotezee muda kumjadili.
Catholic anaweza kufuta huyo Chalamila? Au akamkamata Askofu katoliki kuwa polidi kamkamateni .Polisi gani au mwanajeshi gani atatii hiyo amri ya kwenda kumkamata Askofu wa kanisa katoliki?

Hicho cheo chake cha kisiasa kidogo mno mbele ya maaskofu Ujinga tu unamsumbua
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀


Hivi alifikaje kwenye hilo Kanisa? Hivi kuna mtu anaalika hili jamaa kwenye shughuli ya Dini?
 
Nani alikuambia TEC huwa inashughulika na kauli za watu webye upeo na akili ndogo, na watu wanafiki kama Chalamila?

Hakuna muda wa kuchezea kiasi hicho. TEC only argues with people who are mentally abd morally fit.
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
 
Nani alikuambia TEC huwa inashughulika na kauli za watu webye upeo na akili ndogo, na watu wanafiki kama Chalamila?

Hakuna muda wa kuchezea kiasi hicho. TEC only argues with people who are mentally abd morally fit.
Ujumbe umefika,akili zako na za ukoo wako hazimfikii Chalamila
 
Kwanini asizungumzie msikiti na makanisa kwa pamoja kama kweli alilenga kujenga hoja yenye kuleta maana.?

Hoja yake imekaa kichawachawa, kumfurahisha aliyepo hapo juu kwa kutaja makanisa. Mtu anakuwa na kichwa kikubwa kama tikiti ila kina kosa akili, inakuwaje hii..?
 
Hakuna raia yoyote hapa Tz, kuanzia level ya mama yenu mpaka level ya chawa anaeweza kufungia makanisa yote hapa Tz, ni upumbavu mkubwa kuishabikia na kuiamini hiyo hoja ya huyo jamaa mwenye kichwa kikubwa anaetetea ugali.

Unless muwe mnataka kuvuka mito na mipaka mkiwa uchi kama wakimbizi.
 
Back
Top Bottom