YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Catholic anaweza kufuta huyo Chalamila? Au akamkamata Askofu katoliki kuwa polidi kamkamateni .Polisi gani au mwanajeshi gani atatii hiyo amri ya kwenda kumkamata Askofu wa kanisa katoliki?Huyo kichwa chake tu kinaeleza yeye ni mtu wa aina gani.
Asitupotezee muda kumjadili.
Hicho cheo chake cha kisiasa kidogo mno mbele ya maaskofu Ujinga tu unamsumbua