Sahihi kabisa, unafiki umewazidi yaani mtu ana apa Kwa Biblia au Quran, akimaanisha ni mfuasi wa dhehebu Fulani. Baada ya hapo kiongozi wa Dino akimkosoa kuwa anakwenda tofauti na vitabu hivyo anakuja juu. Watuachie Biblia na Quran zetu.Ifike wakati wanasiasa waache kuapa huku wakiwa wameshirikira vitabu ya dini,ashikirie katiba ya nchi na ilani ya vyama vyao.
Labda baada ya kizazi hikiRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]
Huyo Mbuzi anaongea hivyo maana anajua katiba mbovu iliyopo unafanya wapumbavu na mashangingi wawe maraisi wa hii nchi. Yani majimama ya kununulika kwa kodi ya nyumba yanaongoza nchi na hayafanywi chochote. Ni kweli tupeni katiba mpya halafu atokee mtawala afunge makanisa au misikiti na masinagogi aone tutakacho mfanya. Tena katiba mpya isipowekwa utawekwa kwa damu za hao mashangingi majimama ya buza mliyoyakabidhi kutuuza
Inaonekana Mamako ndio hua ananunulika,ndio maana umekariri kua wamama wote wananunulika kama mamako,Huyo Mbuzi anaongea hivyo maana anajua katiba mbovu iliyopo unafanya wapumbavu na mashangingi wawe maraisi wa hii nchi. Yani majimama ya kununulika kwa kodi ya nyumba yanaongoza nchi na hayafanywi chochote. Ni kweli tupeni katiba mpya halafu atokee mtawala afunge makanisa au misikiti na masinagogi aone tutakacho mfanya. Tena katiba mpya isipowekwa utawekwa kwa damu za hao mashangingi majimama ya buza mliyoyakabidhi kutuuza
Hao Rroma nmmbwa tu wavuruga amaniYatafungwa yote ila sio la ROMAN CATHOLIC kauli moja tu kutoka vatican nchi huanguka wafalme husujudu
Ujumbe umefika,kama unamponda mtoa kauli kua ana upeo mdogo mbona kauli yake imekuchoma kama sindano na unamwaga povu kama lote hapa? Wewe mwenye upeo mkubwa umeleta mabadiliko gani kwenye nchi yako? Umewahi kua hata katibu tarafa?Nani alikuambia TEC huwa inashughulika na kauli za watu webye upeo na akili ndogo, na watu wanafiki kama Chalamila?
Hakuna muda wa kuchezea kiasi hicho. TEC only argues with people who are mentally abd morally fit.
Anaweza kutokea Mujahedeen akafunga Makanisa Yote, nimekuelewa!Maana yake dini na siasa zikichanganywa kutakua na matabaka mawili yaani waislam na wakristo maana ndio dini kubwa hapa tz
Mkristo akiingia madarakani bhc atakandamiza uislam na pia muislam akiingia madarakani nae atafanya hivo hivo
Xx hamuoni huo ni ukweli?
Ye mbona alienda kwa mwamposa kutafuta kuungwa mkono?RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
huyu mbuzi haelewi chochote kuhusu dini wala siasa! rubbish!! V!yote vinahubiri haki! na moja likikengeuka huelezwa! Tunangojea huyo kiongozi wako aje afanye utakayo! tuone shenzi type! Kweli MNATUONA NYANI TU.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
Ujumbe umefika,akili zako na za ukoo wako hazimfikii Chalamila
Tupe mfano wa mtu aliyewahi kutokea tuHivi chalamila alizaliwq au alitokea tu akiwa ni sehemu ya mti wa mbuyu
Lini mpuuzi huyu aliwahi kuongea jambo la maana?Kwanini asizungumzie msikiti na makanisa kwa pamoja kama kweli alilenga kujenga hoja yenye kuleta maana.?
Hoja yake imekaa kichawachawa, kumfurahisha aliyepo hapo juu kwa kutaja makanisa. Mtu anakuwa na kichwa kikubwa kama tikiti ila kina kosa akili, inakuwaje hii..?
Yaani baada ya kulialia ukaenda Kwa hao unaowanga wakakuombea,ss umefanikiwa unaanza dharau!RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
Wee chawa Mzee mbona hujamalizia kumpa ujumbe chala kua.. kanisa takatifu la mitume hakuna wa kulishinda hata milango ya kuzimu?RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia