RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

Wewe mwenye IQ kubwa mbona unapoteza muda wako kumjadili hapa? Au huelewi hata unachokiandika hapa?
 
Mpumbavu tu huyu akishavuta bangi zake anajiona Mungu. Amwambie hata huyu aliyepo ayafute makanisa aone moto wake. Katiba yenyewe inatoa uhuru wa kuabudu au kwa vile wamezoea kuibagaza katiba na kuiita kijitabu
 
Na tunasubiria huyo Rais mwenye uwezo wa kufunga nyumba za ibada ili injili isisonge mbele!! Tunamsubir kwa shauku kubwa!! Naona akina herode wanaanza kujitokeza!!
 
Unamkosoa RC au unapigia debe ulokole?
 

Dsm iko kwenye auto mode
 
TAG lina wafuasi wengi sana kwa sasa hapa nchini.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kabla Kolola na Lazaro hawajavurugana ndio TAG ilikuwa Taasisi kubwa lakini baada ya Kulola kuondoka iligawanyika mno na Waumini Wengi wasiopenda ugomvi walioasisi ministry Zao lakini Wengi walipitia kwa Mzee Kulola baada ya Mwenisongole kuwa mkuu wa TAG

Mfano Kakobe, Rwakatare, Mzee wa Upako, Maboya, Mitimingi nk...nk wote walikuwa TAG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…