Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia age za mabalozi! na imani utapata majibu.Unajua mabalozi wanahekima sana.Huwa wanapata wapi semina?
Hiyo ndio hodi yanamwanza?
Na 'Wasukuma' watamkoma hakyanani.Yani kufika na kufika tu kawatukana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha alikuwa SAUT ya Moshi bila shaka hahahaha"Kama gharama ya mochwari ni ghali tenga chumba kimoja kwako kiwe mochwari ya familia".RC Chalamila
Chanzo: itvtz
Kuna Watu GENTAMYCINE nikiambiwa kuwa Wanaugua Akili naweza Kukukatalia ila kwa huyu nitakukubalia upesi sana tu na hata kutoa Msaada wa kumuwahisha katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ( Kipa Katoka ) Mirembe Mkoani Dodoma.
Kinachonishangaza niliwahi kuambiwa kuwa alishawahi kuwa Mwalimu ( Mkufunzi ) wa Chuo hapa Tanzania hivyo huenda hata hao aliowafundisha hivi sasa nao Akili zao ni za Kipa Katoka ( Wamedata Kichwani ) kama Yeye.
Watu kama hawa CCM inawatoa wapi?
Iringa university mkuu.Mkiti CCM mkoa wa Iringa,Mjumbe uhakiki Mali za CCM anajua mbivu zote za ufisadi CCMHahahahaha alikuwa SAUT ya Moshi bila shaka hahahaha
SAUT haijawahi kuwa na Mpuuzi wa aina yake Mkuu na hujachelewa pia kutuomba Radhi Watu tuliopita na ' Kupikwa ' vyema na SAUT tunaozeeka na IQ's zetu zilizotukuka.Hahahahaha alikuwa SAUT ya Moshi bila shaka hahahaha
wivu tu"Kama gharama ya mochwari ni ghali tenga chumba kimoja kwako kiwe mochwari ya familia".RC Chalamila
Chanzo: itvtz
Kuna Watu GENTAMYCINE nikiambiwa kuwa Wanaugua Akili naweza Kukukatalia ila kwa huyu nitakukubalia upesi sana tu na hata kutoa Msaada wa kumuwahisha katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ( Kipa Katoka ) Mirembe Mkoani Dodoma.
Kinachonishangaza niliwahi kuambiwa kuwa alishawahi kuwa Mwalimu ( Mkufunzi ) wa Chuo hapa Tanzania hivyo huenda hata hao aliowafundisha hivi sasa nao Akili zao ni za Kipa Katoka ( Wamedata Kichwani ) kama Yeye.
Watu kama hawa CCM inawatoa wapi?
Vipi 'anakutindua' nini hivyo umenuna?wivu tu
wivu tu
mwanaume mzima unakua mmbea kwa hiyo wewe hilo ndo umeona la kuongea mpuuzi weweVipi 'anakutindua' nini hivyo umenuna?
mwanaume mzima unakua mmbea kwa hiyo wewe hilo ndo umeona la kuongea mpuuzi weweVipi 'anakutindua' nini hivyo umenuna?
Vipi hajakuambukiza tu Utaahira wake?mwanaume mzima unakua mmbea kwa hiyo wewe hilo ndo umeona la kuongea mpuuzi wewe
Tundu lisu dishi limeyumba, tena wazi wazi, mbona watu hamsemi awahishwe huko mirembe? Tena yeye ni kiongozi wa chama, au hao anaowaongoza nao madishi yameyumba?Msaada wa kumuwahisha katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ( Kipa Katoka ) Mirembe Mkoani Dodoma.
una upeo mdogo sana wa akili hafu hujui hata kuandika mambo ya maana una tabia fulani hv ya kihaya haya kumbe hamnazo kabisa watu wenye exceptional mindset wanajadili facts kubwakubwa sio utopolo wakoVipi hajakuambukiza tu Utaahira wake?
Sasa mkuu ww ukisikia SAUt bas unajua sauti ya mwanza tu...kuna SAUT vyuo vishiriki navyo pia ni SAUTSAUT haijawahi kuwa na Mpuuzi wa aina yake Mkuu na hujachelewa pia kutuomba Radhi Watu tuliopita na ' Kupikwa ' vyema na SAUT tunaozeeka na IQ's zetu zilizotukuka.
Kwani yeye kataja SAUT ya mwanza??Sasa mkuu ww ukisikia SAUt bas unajua sauti ya mwanza tu...kuna SAUT vyuo vishiriki navyo pia ni SAUT
Huyu mpumbavu alitakiwa asiwe hapo mama Samia ni kosa lajeZile semina za uongoz zilikuwa zinahitaji sana kwa hawa watu...gap linaonekana na limeonekana sana....kuna watu hawapashwi kuwa viongozi baadala yake wabaki kwenye utendaji....
Hawa jamaa hawakujui nini muraa.Vipi 'anakutindua' nini hivyo umenuna?