RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

Ndiye alisema kwamba "Hakuwai kufikiria kama Rais anaweza kufariki, akamuuliza mke wake au "Mimi ndiye nimekufa"?
 
Serikali ya hayati magufuli ilijaa watu waajabu sana akiwemo mwendazake
Hivi mtu kama huyu ana background gani huko nyuma?

Yaani kapitaje pitaje mpaka mamlaka za uteuzi zikaanza kumteua.
 
Ccm wote ni wahuni tu, hata kubaki kwao madarakani ni kwa sababu ya uhuni waliofanya kwenye uchafuzi mkuu 2020 maana haukuwa uchaguzi ule.

Sio tu huyu Rc mlevi anayetakiwa kutokuwepo madarakani, ni ccm wote kuanzia mkubwa mpaka mdogo wa chini kabisa
 
Huyu kimeo amelewa madaraka, ni kama hajawahi kuugua, kuuguliwa na wala hajawahi kufiwa, ni nani anawafanyia vetting watu wa aina hii!!!, hivi hakuna wazee wenye busara ambao wangewasaidia kuchagua cha kusema na kutosema?
CCM nzima imeishiwa watu
 
Mods kwanini mmebadilisha heading yangu? Headinga yangu ilikuwa inasomeka hivi "KUMBE WALIKUWA WANAJUA WANAONGOZA BILA HEKIMA/BUSARA"
Unaweza kukuta wateule kwenye"GROUP" lao la "WHATSAPP" wengi wao hawakutegemea kuwepo kwenye mkeka wa awamu ya 6,maana wengi wao walinyanyasa,walidhalilisha na kuvunja sheria,kanuni na taratibu kwa "kutengeneza kiki" wakiwaharibia wengine fursa kwa fitna na dhuluma ya haki za msingi.
 
Back
Top Bottom