RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

Hahahahaha alikuwa SAUT ya Moshi bila shaka hahahaha
 
Unajua mabalozi wanahekima sana.Huwa wanapata wapi semina?
Hiyo ndio hodi yanamwanza?
Hahahahaha alikuwa SAUT ya Moshi bila shaka hahahaha
Iringa university mkuu.Mkiti CCM mkoa wa Iringa,Mjumbe uhakiki Mali za CCM anajua mbivu zote za ufisadi CCM
 
wivu tu
 
Vipi hajakuambukiza tu Utaahira wake?
una upeo mdogo sana wa akili hafu hujui hata kuandika mambo ya maana una tabia fulani hv ya kihaya haya kumbe hamnazo kabisa watu wenye exceptional mindset wanajadili facts kubwakubwa sio utopolo wako
 
SAUT haijawahi kuwa na Mpuuzi wa aina yake Mkuu na hujachelewa pia kutuomba Radhi Watu tuliopita na ' Kupikwa ' vyema na SAUT tunaozeeka na IQ's zetu zilizotukuka.
Sasa mkuu ww ukisikia SAUt bas unajua sauti ya mwanza tu...kuna SAUT vyuo vishiriki navyo pia ni SAUT
 
Zile semina za uongoz zilikuwa zinahitaji sana kwa hawa watu...gap linaonekana na limeonekana sana....kuna watu hawapashwi kuwa viongozi baadala yake wabaki kwenye utendaji....
Huyu mpumbavu alitakiwa asiwe hapo mama Samia ni kosa laje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…