RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

Huyu nae alidanganya kwamba alimpigia simu mheshimiwa wakazungumza wakati hao anasema alimpigia simu mheshimiwa huyo aliisha kata kauli, kwa hiyo na yeye huyu Chalamila ameungana na waziri mkuu katika kusema uwongo kuwadanganya watanzania.
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Jamaa ni kiazi sana yaani
 
Majaliwa pia alidanganya tena akiwa mimbari msikitini hatufai atupishe .......Jafo pia. Kule Makonda ndio kabisa asisogee kwako mnafiki alikudharau sana ......kaa nae mbali tu wala usilipe kisasi karma is a bitch
 
Jafo kafanya nini?
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Mwambie siku nyingine asikurupuke na kuongea uongo uongo.
 
Back
Top Bottom