RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
"Kiroho safi; Shaka ya nini sasa na Madaktari washasema "Kafa"
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Chalamila aongee sasa na Magufuli, si aliongea naye wiki iliyopita alipokuwa tayari?
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hakuongea naye Kwanza?
 
Hawa wajimga wa kujifanya hamnazo ndio walisababisha kifo Cha Rais.baada ya kumshauri Rais hatari ya korona imepiga hodi ikulu .wamemwacha amezungukwa na walinzi Kama yupo uwanja wa vita.walinzi ambao wanazurura sehemu mbali wanakutana na watu wengi.
Maisha ya RAIS Mali ya watanzania.
Mkuu mimi nilishagoma kuangalia ishu zote za ufunguzi hata ya mbezi sikuangalia maana ndio kipindi wave tuu imekomaa kutokea upepo wa msumbiji na mtwara kipindi hicho tumepoteza sana ndugu harafu usalama wa Taifa wanamruhusu ajichanganye na raia wengi iliniumiza sana kwa kweli ni vile sina maamuzi tuu wengi walikua wa kutimuliwa huko...
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Si uliongea nae? Ukatuambia yuko fit na amekutumia pesa za miradi?
 
Back
Top Bottom