RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Gangwe magirini bwana Aah!
 
Hili taahira nitashangaa sana likiendelea na hio nafasi,lijiuzuru mapema kabla hawajalitumbua
Jitu la hovyo kabisa hapo mbeya
Yaani wamelipa madaraka oversaizi!


Pumbaf!
 
Kwahiyo mwanasiasa anaruhusiwa kudanganya hata kwenye mambo ya msingi kuhusu Taifa zima juu ya kiongozi wa nchi? Sasa kama kusema uongo inaruhusiwa kwanini wawakamate wananchi waliosema ukweli kwamba Rais ni mgonjwa?
walicheza kulingana na mdundo unavyoenda
 
Huyu nae alidanganya kwamba alimpigia simu mheshimiwa wakazungumza wakati hao anasema alimpigia simu mheshimiwa huyo aliisha kata kauli, kwa hiyo na yeye huyu Chalamila ameungana na waziri mkuu katika kusema uwongo kuwadanganya watanzania.
Hachelewi kusema niliongea naye akaniambia, "Chalamila mimi nakufa"
 
Hivi ni kwa nini viongozi wetu na heshima zao wanakuwa waongo wakubwa na wanadanganya huku wanajua wanadanganya, tena wengine ndani ya nyumba za ibada. Hawamheshimu hata MUNGU!
 
Watu wenye ugonjwa wa akili (matahira) huwa wanafanana kwa sura, unaweza kukutana na taahira Mwanza anafanana sura na yule uliyemuona mtwara, sasa ukiangalia sura ya huyo chalamila inamfanano na hao ndugu zetu wenye shida ya akili, sasa naamini mfanano huo haujaishia usoni tu! bali hadi kichwani
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Aendelee kuongea nae kwenye simu.
 
Back
Top Bottom