RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wangempima kwapa baada ya kutoa hii kauli. make kwapa halifichi harufu yoyote hata ungechanganya bangi na fanta orange kwapa litatoa tu.
 
Huyu nae alidanganya kwamba alimpigia simu mheshimiwa wakazungumza wakati hao anasema alimpigia simu mheshimiwa huyo aliisha kata kauli, kwa hiyo na yeye huyu Chalamila ameungana na waziri mkuu katika kusema uwongo kuwadanganya watanzania.
endapo mheshimiwa angeokoka toa umautini hawa wawili angewaadhibu tu,kwasabab naamin wamechangia kwa sehem fulan kifo chake hii ni baada ya kuwakosesha watanzania haki ya sala juu yake
 
Hawa wajimga wa kujifanya hamnazo ndio walisababisha kifo Cha Rais.baada ya kumshauri Rais hatari ya korona imepiga hodi ikulu .wamemwacha amezungukwa na walinzi Kama yupo uwanja wa vita.walinzi ambao wanazurura sehemu mbali wanakutana na watu wengi.
Maisha ya RAIS Mali ya watanzania.
 
Sasa wa kumtumbua mwenzake ni nani wakati hata makamu mwenyewe alidanganya kwamba raisi yupo salama kumbe yupo kwenye coma.
 
Huyu si alipigiwa simu na marehemu? Alituambia raisi anaendelea vizuri kumbe uongo
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
RC Chalamila ni moja ya Wakuu wa mikoa wapuuzi sana....!!!
Huyu mwendawazimu ndiye alidai kuwa aliongea na mfu alitamba Magufuli anachapa kazii na hana tatizo lolote.
Kwa taarifa toka jikoni Magufuli alishafariki tangu tarehe 9/03/2021.
 
Rc bogus kilaza namba one duniani.ila sishangai kwao napajua ukoo wao ni vichaa
 
Back
Top Bottom