RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

Toka aambiwe aache kutamanitamani ovyo wake za watu naona akili bado hazijarudi.
Mpaka leo hajamtumbua tu? Maana Makosa yake Ni haya hapa:
1:Utovu wa nidhamu Kwa Rais_Alisema analipwa pesa nyingi kiasi cha kuweza kuwa Na mchepuko
2: Udhalilishaji dhidi ya wanawake _Alisema wakati mwingine ana mtamani DC huku akijua Ni mke wa mtu
3:Tamaa_Kitendo cha kuashiria kutamani wasaidizi wake wa chini,mfano DC
4:Utani usiozingatia mipaka_Kujitoa ufahamu Na kaonyesha udhaifu wake wa kimapenzi Bila kujali rais Ni mtu mkubwa sana Na muhimu,yuko kazini akisikiliza kero za watu
5:Uchanganishi-Kitendo cha kusema kuwe Na chama kimoja cha Magufuli Ruling party Ni dalili za uchochezi
6:Hana akiba ya maneno Kwa kuzingatia muktadha uliopo
 
Matendo ya jiwe yanathibitisha hiyo kauli ya mkuu wa mkoa, yaani sio tena serikali ya ccm aka gambas ni ya mafufuli, jiwe party.
 
Chalamila ni mjinga kabisa ccm ikishajifia zamani 2015 Magufuli aliibeba amegeuka kuwa na serikali ya wauaji majambazi mafisadi wakubwa magufuli ruling party mawe labda owe chato
 
Huyu hata rais akimwambia ale mavi atakula.
Ni mvuta bangi huyo akisindikizwa na sifa ya kijinga ya kula bangi kama mboga
 
qqqqqqqqqqqqq
Labda wanatuzuga hawa kumbe lao moja.
 
Kapumbafu sana haka ka RC
 
As if zamani walikua hawalipwi mishahara, au as if mbeya haikuwahi kuwa na RC.

Haya mawazo mfu ya ccm yanaiua nchi na wao wataonekana mazezeta
 
Nitamtwanda na AK 47 yangu niliyoitunza kwa muda sasa
 
Njaa mbaya sana, unaweza sema usilo tarajia..
 
Hajamtolea nje wala nini bali anawazuga mabwege. Rais katunga sheria ya vyama vya siasa ili hayo matamshi ya mkuu wa mkoa yatimie vizuri.
Wee, kwanza alimwambia aache vitamaatamaa va hovyo, pili akamwambia hakubaliani na mawazo potofu ya kuunda chama cha kiukoo cha makufuli ruling party, tatu atamtumbua, au atatengua uteuzi wake kwasababu kamvunjia heshima sana.
 
Jamaa anajipendekeza mpaka anapitiliza hata CCM inayompa chakula anataka ifutwe ije MRP hatari halafu katibu mkuu wa CCM kaa kimya tu huku mwanachama wake anaongea pumba hadharani kweli kuelekea 2020 tutaona mengi.
 
Jamaa anajipendekeza mpaka anapitiliza hata CCM inayompa chakula anataka ifutwe ije MRP hatari halafu katibu mkuu wa CCM kaa kimya tu huku mwanachama wake anaongea pumba hadharani kweli kuelekea 2020 tutaona mengi.
Dr Bashiru atakuwa amenuna sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…