Wee, kwanza alimwambia aache vitamaatamaa va hovyo, pili akamwambia hakubaliani na mawazo potofu ya kuunda chama cha kiukoo cha makufuli ruling party, tatu atamtumbua, au atatengua uteuzi wake kwasababu kamvunjia heshima sana.
Mkuu kongole kwa neno "akili mpeperuko".Kwa sugu amegonga mwamba. Kwenye malumbano ya hoja alikuwa anajib juu juu tu. Huyu anajiona bado ni kada wkt ameshateuliwa kuwa mkuu wa mkoa. Awaze kama RC. Hawaon ma RC wenzie walivyo.. yeye kutwa akili mpeperuko
Huwa najiuliza hiki cheo alipataje huyu kijana? Yaani dah akili yangu huwa inatatizika sana!Toka aambiwe aache kutamanitamani ovyo wake za watu naona akili bado hazijarudi.