RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

Tumbo linapokuwa na nguvu kuliko ubongo!
 
Matumizi ya makalio katika kufikilia nje ya katiba ya mchi
 
Wewe ndio wewe haujaribiwi, kama hawa CCM wanaona wewe si kitu si chochote huku wanajua chama chenyewe bila nguvu za ikulu ni kama mlenda wapige chini.
Tumia mamlaka yako kama ambavyo umeishajua namna unavyoweza kuyatumia bila wasiwasi, anzisha chama chako.
Alafu tuone nguvu zao ni nini?
 
Kwa hiyo apoteze na urais?!! Thubutuu!!!!
 
Wakati unaandika hivi umesoma Katiba?
 
N
Naunga mkono hata late mutharika Wa Malawi alifanya hivo baada ya kuona bakili akizingua na UDF yake
 
LOoo, naona umempa ushauri wa ajabu huu.
Hicho chama kitakuwa kinaendeshwa na jeshi/polisi na vyombo vyote vya dola au sio?
Mbali ya hapo, kitakuwa ni chama cha kushangaza sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…