Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Huyu angekuwa kenya gen z wangetambaa naye ๐Kumekucha ๐
Sasa hapo kapiga kazi gani?Muacheni mkuu wa mkoa wetu apige kazi, Magufuli alitaka viongozi kama hawa kwenye utawala wake
Chizii huyooo.....unahangaika nae ? Aliwa anaonfea huwa hashirikoshi ibongo wake snaropoka tuuuuChalamila amesema Yeye ni level nyingine
Level gani hiyo inayowazidi Viongozi Wote?!
Nimekaa pale ๐ผ
Mwenye macho aambiwi tazamaShida anadhania kufoka ndio suluhisho.
????Chizii huyooo.....unahangaika nae ? Aliwa anaonfea huwa hashirikoshi ibongo wake snaropoka tuuuu
Chalamila sio mzimaass????
Level ya KitanziniChalamila amesema Yeye ni level nyingine
Level gani hiyo inayowazidi Viongozi Wote?!
Nimekaa pale ๐ผ
Labda Kihesa kwa Semtema ๐๐Level ya Kitanzini