RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe

RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe

Ili kupata mapato ya wajasiriamali, serikali ingejenga maeneo mapya yenye miundombinu yote inohitajika na visimba kwa kila mmachinga.

Wananchi wenye uhitaji wa kwenda huko Machinga Complex watafuata mahitaji yao huko.

Jenga Machinga Compex weka miundombinu wakaribishe wamachinga na subiria mapato ya kodi zao.

Kunakuwa hakuna kelele.
 
Wafanyabiashara wa Tanzania ifike mahala mjitambue,hivi huyu RC ndiyo wa kuwatishia hivyo?Mtu mnayemlisha,kumvisha,kumuozesha,kumsomesha na kila kitu anawategemea nyinyi Kodi yenu ndiyo maisha yake halafu anawadhalilisha kiasi haki ya Mama angetoka na ngeo leo huyu jama hajielewi kwa kweli.
 
Dar inataka mkuu wa mkoa mwenye kichwa kilichotulia vinginevyo anaweza ehuka

Dar huwa haimpi nafasi mkuu wa mkoa kupumua

Kutwa majanga kila kona watu wa dar utafikiri wehu kika sekta ya mkoa
 
Siku wakijua nchi inatakiwa iongezwe Kwa taratibu na sheria, na hakuna aliye juu ya sheria, kuwaongoza Wana dar ni rahisi sana!! Kila kitu isiwe siasa!! Hii siasa imefanya hata jeshi la akiba (mgambo) warudi nyumbani!! Duh hatari sana, hakuna by laws zinazosimamiwa
 
Back
Top Bottom