Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Muacheni mkuu wa mkoa wetu apige kazi, Magufuli alitaka viongozi kama hawa kwenye utawala wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu angekuwa kenya gen z wangetambaa naye 😄Kumekucha 😂
Sasa hapo kapiga kazi gani?Muacheni mkuu wa mkoa wetu apige kazi, Magufuli alitaka viongozi kama hawa kwenye utawala wake
Chizii huyooo.....unahangaika nae ? Aliwa anaonfea huwa hashirikoshi ibongo wake snaropoka tuuuuChalamila amesema Yeye ni level nyingine
Level gani hiyo inayowazidi Viongozi Wote?!
Nimekaa pale 🐼
Mwenye macho aambiwi tazamaShida anadhania kufoka ndio suluhisho.
????Chizii huyooo.....unahangaika nae ? Aliwa anaonfea huwa hashirikoshi ibongo wake snaropoka tuuuu
Chalamila sio mzimaass????
Level ya KitanziniChalamila amesema Yeye ni level nyingine
Level gani hiyo inayowazidi Viongozi Wote?!
Nimekaa pale 🐼
Labda Kihesa kwa Semtema 😂😂Level ya Kitanzini