RC dhoofu: Jumuiya zimebaki na kina mama tu tena wazee

RC Bado Wana nguvu kubwa sio dhoofu kama unavyotaka kutusadikisha hapa.
 
🤜🤛
 
Mkuu wote tungelikuwa na maono kama wewe, kanisa lingelibadilika pakubwa.

Ndiyo maana tunasikia nchi za magharibi ilikotokea dini yenyewe, imebaki ni dini ya wazee vikongwe wanaomalizia siku zao.

Kiukweli, yote uliyoeleza ni sahihi kabisa na si Katoliki tu na hata haya madhehebu ya kilokole ni uongo uongo mwingiii na upigaji wa pesa toka kwa masikini na hakuna lolote la maana.

Serikali isingelifumbia macho aina hii ya utapeli kama walivyofanya Rwanda.
 
Hivi karibuni mtajua ukweli ni upi

Muda ni mwalimu mzuri sanaa
 
Yani hilo kanisa kadiri mnavyo jaribu kulipaka matope ndio kwanza linakuwa kwa kasi ya 5G.
Hapa nilipo miaka mitatu ilIyopita Tulikuwa kigango lakini tayari nyumba ya mapadre imejengwa kwa mll 670,000,00/=mbaka na shangaa.
Na tayari ni Parokia.
Then najiuliza mnatesekaga mkiwa wapi amabapo hamuoni kinacho endelea kwenye kanisa Katoliki.
 
Aliyehama ukatoliki haujui ukatoliki vizuri
wengi wao uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu (IQ Ndogo)

Waliozaliwa kwenye madhehebu au Didi nyingine sina neno juu yao kwani wao wanasikia na kulishwa sumu

Narudia aliyehama Rc hana uwezo wa kuisimamia familia yake.
 
Don't genelize things. Ukiamua kuhama kanisa hama kimya kimya. Afterall imani ni kitu cha mtu binafsi. Ukidanganya eti unafuata imani fulani sababu mtu fulani ni mtakatifu, unajidanganya mwenyewe.
Hii dunia ishakuwa tambala bovu
 
Kama unaingia kanisa ili umwone padri mtakatifu, basi nenda huko kwingine ukakutane nao na maajabu yao.
Ukatoliki ni kitu mtu anapewa personally. Ukitaka kuuelewa, hakuna force ya aina yoyote dunia hii itakayokutingisha.
 
Aliyehama ukatoliki haujui ukatoliki vizuri
wengi wao uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu (IQ Ndogo)

Waliozaliwa kwenye madhehebu au Didi nyingine sina neno juu yao kwani wao wanasikia na kulishwa sumu

Narudia aliyehama Rc hana uwezo wa kuisimamia familia yake.
 
Acha kukariri ndugu.
Imani yako ya kikatoliki isikufanye kuona watu wenye imani zingine ni wajinga au wapumbavu.
Imani ni suala binafsi sana, mpaka mtu anaamua kutoka imani moja kwenda nyingine ni lazima alihusisha Akili yake na kutafakari vizuri. Huyo mtu muheshimu hata kama mnatofautiana naye.

Ngoja nikutafakarishe kitu kimoja hapa.
Hivi unajua zaidi ya 90% ya wakatoliki wako kwenye ukatoliki kwa sababu tu, walizaliwa na kulelewa na wazazi wakatoliki. Hapo akili ya muumini imetumikaje?
 
Wewe fahamu tu, haihitaji uwe na akili timamu au uujue vizuri ukatoliki ili uwe mkatoliki, kinachotakiwa ni wewe kuzaliwa na kulelewa na mzazi mkatoliki, hapo tu inatosha sana kuwa mkatoliki nguli.
 
Kwa mkatoliki kadri unavyoufahamu vizuri ukatoliki, kuuchunguza kiundani, kuuhoji kimantiki na kutafakari kwa akili yako binafsi kwa kutumia biblia unayoisoma wewe mwenyewe ndivyo unavyozidi kujiweka mbali na ukatoliki.
 
Mtoa mada haujawahi kuwa mkatoliki wa kweli. Lkn acha tuchukulie uliyoandika ni kweli.
Nieleze huko ulikohamia ni wapi?
Ni kule wanakouza mafuta ya kupaka na maji?
Ni kule kumuona nabii unalipia?
Ni kule mnakopangwa kwenye viti kutokana na uwezo wa kifedha alionao muumini?
Je ni kule maombi mnayoyaita deliverence wachungaji wanayafanyia Hotelini kwenye vyumba vya wageni?
Je ni kule wanakoruhusu dada kuingia kanisani akiwa nusu uchi?
Je ni kule Katibu wa kanisa anamla mama mchungaji na bado wanaruhusiwa kuwafanyia maombi waumini?
Hebu nieleze ni wapi uliko ambako upo salama.
 
Wewe ni mmoja kati ya watu wenye IQ ndogo sana kuhusu biblia,unabisha nikutupie swali ujibu kama kweli ww ni Mroma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…