Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
analindwa wakati gani, mbona tunawaona tu wenyewe humu mitaaniFake news; RC anayelindwa na bunduki 7.kama sio zaidi unaanzaanza vipi mpaka umshambulie kimwili kwa ngumi, teke au kichwa?! Leta picha hapa tukuelewe vinginevyo wewe ni mchochezi na sheria iko wazi!
Mkuu wa mkoa ni mkubwa kuliko waziri, waziri ni mteule wa rais, mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais, au rais wa mkoa. Waziri hana mamlaka ya kuviamuru vyombo vya dola, mkuu wa mkoa, anamamlaka ya kumtia mtu ndani. Mkuu wa mkoa anatembea na bendera, waziri hana. Mkuu wa mkoa anamuona rais direct, Waziri anaanzia kwa Waziri Mkuu.
P
Rais ni mkuu wa the executive, ni head of state na amiri jeshi mkuu, mawaziri ni political appointee tuu, hawana executive powers, wakuu wa mikoa ni executive positions, waziri hapigiwi saluti, RC anapigiwa saluti.Sio kweli bro Paskali
Hata ww unashindwa jua Mkuu wa Mkoa ni mdogo kwa Waziri? Eeehh Hujui hata basic structure ya Government? Kaka Paskali.. Eeehh
Mkuu wa Mkoa ni mdogo kwa Waziri kabisa..!! Waziri eg wa Tamisemi, wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wote wako chini yake na wanapokea amri toka kwake. Yaani Waziri wa TAMISEMI ndio mkubwa wa Mikoa na wilaya na halmashauri zote Tanzania, Hii haimaanishi Waziri wa TAMISEMI ni mkubwa kuliko mawaziri wengine.. Hii ni basic Civics bana..!! Civics au hukuipitia vema? Au Paskal umepitiwa nn kuhusu hili ? Waziri anaweza amrisha vyombo vya dola inategemeana yuko position gani..!! Waziri ana nguvu kubwa kuliko Mkuu wa Mkoa yeyote .
Suala la Gambo sidhani kama ni kweli mtoa mada hajui vema nadhani maana hili halipo..!!
PaskaliRais ni mkuu wa the executive, ni head of state na amiri jeshi mkuu, mawaziri ni political appointee tuu, hawana executive powers, wakuu wa mikoa ni executive positions, waziri hapigiwi saluti, RC anapigiwa saluti.
Ma RC ndio wakuu wa kamati za ulinzi na usalama
ana tuma report yake direct to No.1. Waziri ni mtu mdogo in terms of power kumlinganisha na RC.
Japo structurally Waziri ni mkubwa, lakini application RC kimkoa ni mkubwa kuliko Waziri, huyu kwa mkoa ni rais wa mkoa, waziri sio rais wa popote. Hapa tunazungunzia powers na sio responsibilities.
P
Mkuu Bwana Mapesa, kuna vitu vingine, unapaswa kutumia tuu logical thinking, yaani kwa Gambo apigwe ngumi, atoke nundu, halafu huyo mtu akalale kwake?!. Kumbe sii wengi mnaotambua kilichomkuta Lema kuozea mahabusu, chanzo ni Gambo!.
Tukio hili lingekuwa kweli, by now hilo neno tetesi lisingekuwepo. Threads kama hizi ndizo zinazoshusha credibility ya jf na kutufanya sisi sote tuliomo humu kuonekana wajinga!.
Mode, please do the needful.
P
Sio kweli bro Paskali
Hata ww unashindwa jua Mkuu wa Mkoa ni mdogo kwa Waziri? Eeehh Hujui hata basic structure ya Government? Kaka Paskali.. Eeehh
Mkuu wa Mkoa ni mdogo kwa Waziri kabisa..!! Waziri eg wa Tamisemi, wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wote wako chini yake na wanapokea amri toka kwake. Yaani Waziri wa TAMISEMI ndio mkubwa wa Mikoa na wilaya na halmashauri zote Tanzania, Hii haimaanishi Waziri wa TAMISEMI ni mkubwa kuliko mawaziri wengine.. Hii ni basic Civics bana..!! Civics au hukuipitia vema? Au Paskal umepitiwa nn kuhusu hili ? Waziri anaweza amrisha vyombo vya dola inategemeana yuko position gani..!! Waziri ana nguvu kubwa kuliko Mkuu wa Mkoa yeyote .
Suala la Gambo sidhani kama ni kweli mtoa mada hajui vema nadhani maana hili halipo..!!
Hapana PM ni no.3 kwa ukubwa kisha linafuata Baraza la Mawaziri in terms of political rulling, lakini kwenye executive powers, hata ma PS kwenye wizara ndio wakuu, where executive powers lies, ndio kwenye nguvu.Paskali
Unaamanisha hata PM hana madaraka zaidi ya RC's.Kupigiwa saluti ni ujeuri wa askari lakini kila waziri na mbunge anatakiwa kupigiwa saluti. Na Kama kupigiwa Saluti ni hoja ya madaraka kwa hiyo Waziri Mwinyi ni mkubwa kuliko mawaziri wote, Mwingulu Je na vipi kuhusu Kigwangwala?
Kivyovyote vile waziri ni mkubwa kuliko RC kinachofanya RC aonekane ni mkubwa ni ule ukaribu wake na mamlaka ya utezi, rejea kipindi cha JK PM alishindwa kumuwajibisha katibu wa wizara sababu ya ukaribu kati ya katibu na mamlaka ya uteuzi.
Kavimba pua nasikiaπππππPicha ya kuvimba baada ya kichapo plzzz
Kuna jimbo la Arusha mjini!Lakini wenye akili wameelewa namaanisha nini