RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL

Sheria za China zinaruhusu Rushwa ukiwa nje ya China kama rushwa hio ni kwa manufaa ya nchi yao, yaani kuziibia nchi zingine
 
Wachina wamefunga ndoa za ufisadi na watawala wa kiafrica
Bila kutawanya mamkaka ya dola kwa wengi Africa itabakia kwenye giza nene la Ufisadi. Nchi nzima eti HAZINA ni moja na anayeamua hela zitumikaje ni MTU MMOJA.... kichekesho.... Anayeteua watu wote kwenye dola ni MTU MMOJA...kichekesho
 
CHADEMA mmefurahi Sana kisa aliwatoroka πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema TAIFA..... dawa na vijana Mi-CHAWA huwa ndiyo hii... alifikiri Mafuguli ataishi milele - hela aliyopewa ishaisha sasa hivi ni msoto tu.

Akatafute shule ya Secondary ya kufundishe kule kwao Uvinza vinginevyo maji yatakuwa mma
 
Mkurugenzi wa TANROADS alikuwa wapi

Waziri wa ujenzi naye alikuwa wapi

Team ya ufundi ya TANROADS inafanya nini mpaka RC abaini makosa yote hayo tena ya kitaalamu
Unadhani nn apo Zaid ya rushwa ushasikia mkuuu wa mkoa Mpya na iyo mikataba Yote imesainiwa na mkuuu wa mkoa wa zaman wameshindwa kuelewana kupeana mgao na mkuuu wa mkoa wa zaman kwaiyo kaamua kulipua bovu hii nchi DAh πŸ˜ͺ#kaziiendeleee
 
Sema TAIFA..... dawa na vijana Mi-CHAWA huwa ndiyo hii... alifikiri Mafuguli ataishi milele - hela aliyopewa ishaisha sasa hivi ni msoto tu.

Akatafute shule ya Secondary ya kufundishe kule kwao Uvinza vinginevyo maji yatakuwa mma
Daaah,
 
Daah, hivi huyu jamaa alikosea wapi aise mbona kama hili Taifa linahitaji viongozi wa aina wa kumtetea Rais, Chama na then Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…