franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah, you mean Mimi ni Jesca sioHuyo ni mumeo tunakujua sn
Fika nyumbani kwake utamkutaivi jamaa yupo wapi cku izi?
CHADEMA mmefurahi Sana kisa aliwatoroka 😂😂ivi jamaa yupo wapi cku izi?
Duuuh, ndio maana wanamwaga pesa, Huu mradi kunawatu walikula 10%Sheria za China zinaruhusu Rushwa ukiwa nje ya China kama rushwa hio ni kwa manufaa ya nchi yao, yaani kuziibia nchi zingine
Wachina wamefunga ndoa za ufisadi na watawala wa kiafricaDuuuh, ndio maana wanamwaga pesa, Huu mradi kunawatu walikula 10%
Ila sio Rais Samia Suluhu HassanWachina wamefunga ndoa za ufisadi na watawala wa kiafrica
dawa ya MI-CHAWA huwa ndiyo hii.... CHALI.Fika nyumbani kwake utamkuta
Bila kutawanya mamkaka ya dola kwa wengi Africa itabakia kwenye giza nene la Ufisadi. Nchi nzima eti HAZINA ni moja na anayeamua hela zitumikaje ni MTU MMOJA.... kichekesho.... Anayeteua watu wote kwenye dola ni MTU MMOJA...kichekeshoWachina wamefunga ndoa za ufisadi na watawala wa kiafrica
Wewe uneiona hiyo Barabara?Sawa nini?
Sema TAIFA..... dawa na vijana Mi-CHAWA huwa ndiyo hii... alifikiri Mafuguli ataishi milele - hela aliyopewa ishaisha sasa hivi ni msoto tu.CHADEMA mmefurahi Sana kisa aliwatoroka 😂😂
Unadhani nn apo Zaid ya rushwa ushasikia mkuuu wa mkoa Mpya na iyo mikataba Yote imesainiwa na mkuuu wa mkoa wa zaman wameshindwa kuelewana kupeana mgao na mkuuu wa mkoa wa zaman kwaiyo kaamua kulipua bovu hii nchi DAh 😪#kaziiendeleeeMkurugenzi wa TANROADS alikuwa wapi
Waziri wa ujenzi naye alikuwa wapi
Team ya ufundi ya TANROADS inafanya nini mpaka RC abaini makosa yote hayo tena ya kitaalamu
Daaah,Sema TAIFA..... dawa na vijana Mi-CHAWA huwa ndiyo hii... alifikiri Mafuguli ataishi milele - hela aliyopewa ishaisha sasa hivi ni msoto tu.
Akatafute shule ya Secondary ya kufundishe kule kwao Uvinza vinginevyo maji yatakuwa mma
Ndiyo weweDaaah, you mean Mimi ni Jesca sio
ila jf kuna mambo Sana, Je umehesabiwa mkuu Bejamini NetanyahuNdiyo wewe
Maswali gani haya hapa kwa Great thinkers zeebabaivi jamaa yupo wapi cku izi?
Haiwezekani, kupigwaAcha tupigwe tu !!
View attachment 2290873
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75. Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa.
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni 5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya. Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo, RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATV amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika.
"Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu. Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia. Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa, "mbali ya kurudia barabara, pia mshauri mwelekezi(consultant) alibadilishwa. Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona serikali sasa itapokea barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali."
"Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango. Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya barabara na hata miradi mingine, thamani ya pesa(value for money) inaonekana. Wakandarasi wababaishaji hawana nafasi, nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu," alisisitiza zaidi.
"Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana. Yaani gharama kilomita 1 ya lami ni takribani 1.5 bn., pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya. Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhitaji mabilioni mengine ya ukarabati? Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sita, na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu, " alimalizia.
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!