RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

Mhe RAS endelea na kazi za U-RAS siasa na propaganda achia wahusika.
 
Ni kwanini tisilifurahie?

Jambo jema, lenye maslahi mapana kwa nchi, hata wapinzani tunaliunga mkono[emoji2]

Maendeleo hayana chama.
By Magufuli's voice
Good and thanks thanks
 
Vijana wa UFIPA wanatamani kushindwa kwetu lakini wamekwama Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii... Hana Baya mama yetu
Tena bila makelele,juzi serikali ilizindua mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa zaidi ya bil.200 mama anaupiga mwingi na kufunga kabisa bila makelele
 
Ndugu biashara ni nipe nokupe,nilisikia Rais anasema Tanzania inaweza pata mapato kama 10% ya thamani ya mradi ambazo ni kama Til.10 kwa mwaka Sasa hii sio pesa ndogo Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…