RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

Mhe RAS endelea na kazi za U-RAS siasa na propaganda achia wahusika.
 
Ni kwanini tisilifurahie?

Jambo jema, lenye maslahi mapana kwa nchi, hata wapinzani tunaliunga mkono[emoji2]

Maendeleo hayana chama.
By Magufuli's voice
Good and thanks thanks
 
Vijana wa UFIPA wanatamani kushindwa kwetu lakini wamekwama Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii... Hana Baya mama yetu
Tena bila makelele,juzi serikali ilizindua mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa zaidi ya bil.200 mama anaupiga mwingi na kufunga kabisa bila makelele
 
Ni hatua nzuri japo umakini unahitajika kwenye hiyo mikataba. Mmetolea mifano ya uingereza kukodi wataalam wa mambo ya mikataba ya kibiashara na uchumi,ni sawa na ni busara kutambua mapungufu yako ili upate msaada kuepuka kuumizwa. Hata hivyo uingereza haifanani na sisi, haswa kwenye issues za ujasusi, wako mbali sana hivyo kuwa na uhakika wa kutochezewa hata kama watamtoa mshauri nje ya uingereza.
Hivyo eneo hilo linataka tahadhari kubwa zaidi. Aidha siwezi kuamini sana kuwa hatuna kabisa watanzania wabobevu wa kimataifa kwenye maeneo hayo. Naamini inawezekana hata kushirikisha diaspora wetu ambao wamesambaa maeneo mengi duniani, na tuwe tayari kuwalipa inavyostahili na siyo kuwaonea wivu kwa kuwa ni wenzetu na tukawafanyia kama tulivyowafanyia huko nyuma kuwapunguzia mishahara yao bila kuangalia potential walizonazo.
Nani alikuwa anajua mtanzania mwenzetu alikuwa ni miongoni mwa wahandisi bora waliodesign na kuunda Boeing zetu,sote tulishangaa kumuona ndiye aliyeisindikiza na kukabidhi Boeing zetu.
Bila shaka hata kwenye huo mradi au miradi mikubwa kama hiyo, ni vizuri balozi zetu zikasaidia kutambua watu wetu wenye vipawa na rare skills, wasaidie nchi yao.
Ndugu biashara ni nipe nokupe,nilisikia Rais anasema Tanzania inaweza pata mapato kama 10% ya thamani ya mradi ambazo ni kama Til.10 kwa mwaka Sasa hii sio pesa ndogo Mzee.
 
Back
Top Bottom