Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepokea Hongera zao thanks thanks thanksHongera Lindi hongera Tanzania
Ok nitamfikishiaNimemuelewa Google boots Barker wa UK ili nijue SHUGHULI wazifanyazo
Nimekuta NI mambo ya kutengeza viatu kafulila naomba website yao
Good and thanks thanksNi kwanini tisilifurahie?
Jambo jema, lenye maslahi mapana kwa nchi, hata wapinzani tunaliunga mkono[emoji2]
Maendeleo hayana chama.
By Magufuli's voice
Tumbili wamejaa Ngorongoro[emoji3][emoji3]Mr tumbili
Mama anatengeneza fursa za baadaye watanzania wake walambe asaliBaada ya kulamba asali mmepoa sana
DuuuuMkuu asante sana kwa pongezi zako. Endelea tu kupiga mihayo ukisubir kufa mdomo wazi
Sasa wewe utakuwa mtu wa namna gani? Huna jema? Kila kitu unapinga?Naona mshalambushwa asali vichwa mmebebea nywele kila lifanyikalo ni hewala tu.
JOYOPAPASI Upo mkuu, Hii gesi itapunguza pia gharama za gesi iliyoko?Good and thanks thanks
Mikataba iliyoingiwa ni ajira kwa Watanzania Ili nao walambe asali yaoNaona mshalambushwa asali vichwa mmebebea nywele kila lifanyikalo ni hewala tu.
Extrovert ni mtata sana kitambo,Sasa wewe utakuwa mtu wa namna gani? Huna jema? Kila kitu unapinga?
Tena bila makelele,juzi serikali ilizindua mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa zaidi ya bil.200 mama anaupiga mwingi na kufunga kabisa bila makeleleVijana wa UFIPA wanatamani kushindwa kwetu lakini wamekwama Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii... Hana Baya mama yetu
Sio mtata ni mjinga,ujue unaweza hata kuugua kwa chuki zisizo na msingi hata kwenye mambo yaliyo wazi.Extrovert ni mtata sana kitambo,
Kabisaaa mkuu na Sasa magari Mengi ya Petrol na Diesel yanafungwa gesi Kupunguza maumivu ya kupanda mafutaJOYOPAPASI Upo mkuu, Hii gesi itapunguza pia gharama za gesi iliyoko?
Bila transparency ya serikali ya mama yako siwezi kubaliana na chochote. Hakuna alilofanya lenye impact njema ya moja kwa moja kwa raia.Sasa wewe utakuwa mtu wa namna gani? Huna jema? Kila kitu unapinga?
Ndugu biashara ni nipe nokupe,nilisikia Rais anasema Tanzania inaweza pata mapato kama 10% ya thamani ya mradi ambazo ni kama Til.10 kwa mwaka Sasa hii sio pesa ndogo Mzee.Ni hatua nzuri japo umakini unahitajika kwenye hiyo mikataba. Mmetolea mifano ya uingereza kukodi wataalam wa mambo ya mikataba ya kibiashara na uchumi,ni sawa na ni busara kutambua mapungufu yako ili upate msaada kuepuka kuumizwa. Hata hivyo uingereza haifanani na sisi, haswa kwenye issues za ujasusi, wako mbali sana hivyo kuwa na uhakika wa kutochezewa hata kama watamtoa mshauri nje ya uingereza.
Hivyo eneo hilo linataka tahadhari kubwa zaidi. Aidha siwezi kuamini sana kuwa hatuna kabisa watanzania wabobevu wa kimataifa kwenye maeneo hayo. Naamini inawezekana hata kushirikisha diaspora wetu ambao wamesambaa maeneo mengi duniani, na tuwe tayari kuwalipa inavyostahili na siyo kuwaonea wivu kwa kuwa ni wenzetu na tukawafanyia kama tulivyowafanyia huko nyuma kuwapunguzia mishahara yao bila kuangalia potential walizonazo.
Nani alikuwa anajua mtanzania mwenzetu alikuwa ni miongoni mwa wahandisi bora waliodesign na kuunda Boeing zetu,sote tulishangaa kumuona ndiye aliyeisindikiza na kukabidhi Boeing zetu.
Bila shaka hata kwenye huo mradi au miradi mikubwa kama hiyo, ni vizuri balozi zetu zikasaidia kutambua watu wetu wenye vipawa na rare skills, wasaidie nchi yao.