RC Kafulila: Rais Samia anatupitisha njia ile ile ya Korea na Vietnam, tulikuwa nao sambamba kiuchumi miaka ya 1990's walituacha sasa tunawashika

Huko mkoani Tanga wafugaji na wakulima wamepigana usiku kucha huku kasimu majaliwa akipokea pesa kutoka oBC
 
Haha Kafulila anahangaika sana kama anataka kutaga vile.

Kwani ukuu wa mkoa haumtoshi??

Au anataka ateuliwe ubunge na kupewa uwaziri?
Kwa hiyo akienda kukagua miradi inayotekelezwa ndani ya mkoa wake anyamaze asi comment chochote? Acha ujinga mbona rais nae anaongea anapokagua miradi vipi anataka kuteuliwa na nani?
 
Vijana wa chadema wako choka mbaya kwa hoja, Wivu na ghubu vinawapa tabu sana
 
View attachment 2306065

RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO,

Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema, Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana,

Mhe Rais anajetujengea majengo 25 na sasa tupo zaidi ya asilimia 85.

Uamuzi huu wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kuwekeza zaidi katika ujenzi vyuo vya kati ni sehemu ya siri ya mafanikio ya mataifa kama Vietnam na Korea kusini,

Kwa msiofahamu mataifa haya tulikuwa nayo sambamba kiuchumi mpaka miaka 1990's

Chaajabu Mataifa haya leo yametupita zaidi ya mara tano,

Vyuo hivi vinajenga nguvu kazi kubwa yenye maarifa ya kuzalisha na hivyo kujenga uchumi mkubwa na jumuishi kwa kila mwenye nguvu ya kufanya kazi kuwa na maarifa ya kuzalisha.

Hivyo tunamshukuru Sana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa fikra za kimapinduzi katika kuhakikisha vijana wengi wanapata fursa ya kupata maarifa na kujenga nchi yao kwa kuzalisha.

Leo kuna miradi mingi ya ujenzi kila kona ya nchi na yote inahitaji mafundi wa aina mbalimbali.

Hapa Simiyu tunaishiwa vijana wenye stadi za ufundi mpaka tunaenda kuchukua Vijana Mwanza.

Chuo hiki kitajenga vijana wengi wa kutumia fursa hizi alimaliza kwa kusema Mhe RC Kafulila alipokuwa kwenye ukaguzi wa ujenzi wa chuo cha VETA-SIMIYU
Kusema ukweli waAfrika tutaendelea kuwa kichwa cha wenda wazima.
Kwa Nini nasema hivi.
Utakuta viongozi badala ya kufanya Yale yanayowahusu Kwa mustakabali wa nchi na watu wake.
Mtu anaibuka kumsifia Rais wake Kwa yanayoenda. Pesa zitoke Kwa wafadhili hata kama mkopo, wananchi wanalipa Kodi
Lukuki na Tozo nyingi.
Yeye na wizara Fedha husika ni kupanga cha kuifanyia huku wakimega saizi yao pia.

Sasa nauliza hizo sifa Lukuki zanini? Mbona nchi za wenzetu hawana kumsifia Rais na wanatekekeza majukumu yao Kwa asilimia [emoji817] na kama ukishindwa kuwajibika unachia ngazi! Ndio maana KATIBA MPYA muhimu na wateuliwa wawe wanaomba na kusailiwa kazi.
Hii ya kuteuwa Leo kuapisha kesho ife viongozi wanabweteka na kuanza Misifa.
 
Mbona nimeisikiliza vizuri hii clip RCKafulila kamtaja Rais mara moja tu
 
Maendeleo yanaletwa na vitendo na wala siyo maneno.
Watendaji wa maendeleo ni wananchi na serikali huwezesha kwa kuweka sera na sheria wezeshi.
Ufafanuzi wa sera na sheria zenye kumsaidia mwananchi mmoja mmoja unatakiwa kutofautisha hali ya zamani na sasa.
 
Kwenye hili nakuunga mkono 😍😍
 
Kwa hiyo akienda kukagua miradi inayotekelezwa ndani ya mkoa wake anyamaze asi comment chochote? Acha ujinga mbona rais nae anaongea anapokagua miradi vipi anataka kuteuliwa na nani?
Afanye kazi sio kujisifia mitandaoni kwa ujinga ujinga kama huu unaofanya hapa.
 
Back
Top Bottom