OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
Kafulila ndio mwenye njaa au wewe?Njaa mbaya sana,kafanya lipi jipya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila ndio mwenye njaa au wewe?Njaa mbaya sana,kafanya lipi jipya?
Kumbe una akili sana.Haha Kafulila anahangaika sana kama anataka kutaga vile.
Kwani ukuu wa mkoa haumtoshi??
Au anataka ateuliwe ubunge na kupewa uwaziri?
Hujachangia mada mezani umekuja na yako.Binafsi nafarijika Sana na kasi ya kimaendeleo inayofanywa na Rais,
Jambo la msingi ni watu kuwa na Uzalendo kwa pesa za Umma,
Pesa anazotoa Mama zikitafunwa hatutaona matokeo,
#VIVA SAMIA VIVA
VIVA MAMA VIVABinafsi nafarijika Sana na kasi ya kimaendeleo inayofanywa na Rais,
Jambo la msingi ni watu kuwa na Uzalendo kwa pesa za Umma,
Pesa anazotoa Mama zikitafunwa hatutaona matokeo,
#VIVA SAMIA VIVA
Hivi huwa ni kanuni kuwa Kila kiongozi akitoa speech umtaje rais? Yaani mfano hivyo vyuo 25 Kila kikifunguliwa rais atajwe.Mbona nimeisikiliza vizuri hii clip RCKafulila kamtaja Rais mara moja tu
Sasa machawa kama yanasifu wewe unateseka nini? 😂😂Hivi huwa ni kanuni kuwa Kila kiongozi akitoa speech umtaje rais? Yaani mfano hivyo vyuo 25 Kila kikifunguliwa rais atajwe.
Ni kweli rais amefanya mengi ila machawa yamezidi kusifu jameni.
Nani kakataa wasisifu.Sasa machawa kama yanasifu wewe unateseka nini? 😂😂
Kumbe sijaelewa vema very sorryNani kakataa wasisifu.
Analinda kibuyu cha asali asije akanyang'anywa sababu hatoi sharautiKafulila anamaanisha anachokisema ama analinda ugali?
View attachment 2306065
RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO,
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema,
Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana,
Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo zaidi ya asilimia 85 kuyakamilisha,
Uamuzi huu wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kuwekeza zaidi katika ujenzi vyuo vya kati ni sehemu ya siri ya mafanikio ya mataifa kama Vietnam na Korea kusini,
Kwa msiofahamu mataifa haya tulikuwa nayo sambamba kiuchumi mpaka miaka ya 1990's
Chaajabu Mataifa haya leo yametupita zaidi ya mara tano,
Vyuo hivi vinajenga nguvu kazi kubwa yenye maarifa ya kuzalisha na hivyo kujenga uchumi mkubwa na jumuishi kwa kila mwenye nguvu ya kufanya kazi kuwa na maarifa ya kuzalisha.
Hivyo tunamshukuru Sana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa fikra za kimapinduzi katika kuhakikisha vijana wengi wanapata fursa ya kupata maarifa na kujenga nchi yao kwa kuzalisha ajira na kujiajiri,
Leo kuna miradi mingi ya ujenzi kila kona ya nchi na yote inahitaji mafundi wa aina mbalimbali.
Hapa Simiyu tunaishiwa vijana wenye stadi za ufundi mpaka tunaenda kuchukua Vijana Mwanza.
Chuo hiki kitajenga vijana wengi wa kutumia fursa hizi alimaliza kwa kusema Mhe RC Kafulila alipokuwa kwenye ukaguzi wa ujenzi wa chuo cha VETA-SIMIYU
Kashaliwa kichwaHuyu mwamba anastruggle sana aisee! Yani kama Jafo alivyokuwa wkt wa Magu!
Kafulila sio levels zenu,mjane ni wewe na huyo anayetaka kuolewa na lissu au baada ya kufiwa na dikiteta uchwara mkakosa mume mnahitaji lissu awaowe ili awape huduma yenu mlioikosa toka mfiwe.
Tuko vizuri Sana TanzaniaAll these didn't help; poor me 😀😀😀😀
eeee narudi nyumbani eee, narudi majimajiii,
Narudi matimila eeee..... maisha ya dar es salama siyo mchezoooo...ooohhh narudi ugonileeee