RC Kafulila: Rais Samia anatupitisha njia ile ile ya Korea na Vietnam, tulikuwa nao sambamba kiuchumi miaka ya 1990's walituacha sasa tunawashika

Hakuna kama Rais Samia
 
Binafsi nafarijika Sana na kasi ya kimaendeleo inayofanywa na Rais,

Jambo la msingi ni watu kuwa na Uzalendo kwa pesa za Umma,

Pesa anazotoa Mama zikitafunwa hatutaona matokeo,

#VIVA SAMIA VIVA
Yes hata huyu RC anayekwenda Simiyu ajipange sawasawa
 
Tuchape kazi, uzalendo unalipa Sana
 
Njaa mbaya sana.
 
Binafsi nafarijika Sana na kasi ya kimaendeleo inayofanywa na Rais,

Jambo la msingi ni watu kuwa na Uzalendo kwa pesa za Umma,

Pesa anazotoa Mama zikitafunwa hatutaona matokeo,

#VIVA SAMIA VIVA
😍😍😍
 
Hivi Kafurila ana umri gani...!!? Inaelekea mambo mengi anayaongea kasimuliwa au hana uelewa au reliable sources .... Hivi kweli Tanzania ilikuwa sambamba na Korea miaka ya 90's ... au anazungumzia North Korea. Hivi kweli sisi Tanzania ni wa kujilinganisha na Vietinam ambayo ilimudu kupigana vita na China na USA kwa miaka hiyo.

Kwa taarifa tu miaka ya mwishoni mwa 80's Korea walidonate Hunday kwa Jeshi la Police Tanzania kwa maana kuwa tayari walikuwa wanweza kutengeneza magri yao wenyewe. Miaka hiyo hiyo ya 90's anayoizungumzia tayari Sumsung TV zilikuwa ziko madukani Tanzania. Sasa sisi na Korea tulikuwa sambamba kiuchumi lini .... Bora aseme miaka ya 60's ambampo uchumi wa nchi nyingi duniani ilikuwa mdololo!!
 
Tanzania kwa sasa speed yetu ya maendeleo ni kubwa Sana,
 
Binafsi nafarijika Sana na kasi ya kimaendeleo inayofanywa na Rais,

Jambo la msingi ni watu kuwa na Uzalendo kwa pesa za Umma,

Pesa anazotoa Mama zikitafunwa hatutaona matokeo,

#VIVA SAMIA VIVA
Inaki hivihivi
 
Hakuna kama Rais Samia
Uko sahihi Kaka lakini serikali inapaswa kuwekeza kwenye elimu ya Kodi Ili Kila mtu anayejipatia riziki atoe chochote kitu kwa maendeleo ya nchi yake
Hadi Sasa watanzania wanalipa Kodi hawafiki 50% angalau Kodi ya miamala ndio imekuja kumgusa Kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…